Unayependa kuniandika kitabu cha wageni guest house ukiwa na kimada uache

Jina lako nani hata nchi nzima likosekane? Majina mengi ya kibongo yanajirudia sana.
 
Pole sana mkuu kwa mkasa huo ni hatari sana.
 
Jina lako nani hata nchi nzima likosekane? Majina mengi ya kibongo yanajirudia sana.
Jina kama Orkokoyo Medung'ori halijirudii kihivyo mkuu...haya,ni majina ya kipekee sana
 
Yawezekana mwafanana majina.
 
Mfano wakulya akina chacha mwita wapo kibao zanzibar ndiyo usiseme juma Mohammed kila kona.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] pole bro ndo ukubwa huo.lkn usisahau majina yetu hufanana eeh
 
Dunia kuna vituko sana,jina lako nani vileeeeee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…