Unayependa kuniandika kitabu cha wageni guest house ukiwa na kimada uache

Hivi punde umeamua tu kujishtukia cuz wa2 wenye majina yanayofanana wapo wengi,fikiria watu wenye majina ya Joseph Tz nzima wapo wangapi?
 
Huyu jamaa kuna watu anawalenga,hasa wale wanaoandika majina ya uongo Guest.
 
Huku kwetu ndio utaratibu watu hawatumii majina yao halisi bali litakalomjia kichwani ndio ataliandika hapo kwenye daftari
 
Ni jina pekee yaani yote matata yamefanana?! Ina maana na taarifa zingine zote pia zimerandana na zako? Hadi hata passport number kama unamiliki passport pia zimefanana!!!
 
Nina mashaka na Kaka Mshana Jr!hebu muulizeπŸ˜›πŸ™πŸ™
 
Akili za watanzania bwana.......kwani we we jina lako ni special kama la Yesu
 
Hahahaaa,kuna majina ni rahisi sana kuandikwa kule,John,Imma,Juma,Mary,Rozy,Hadija nk
 
Haha
ole sanin'go lengatutu
Kin'gonde ole majujururuba [emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daby wewe umetunga hayoo
 
Mkuu,kile kineno "aseeh"ushakipotezea nini??!!Sioni unakitumia ati!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…