Unayetafuta ngekewa na hirizi ya Simba hivi hapa, ufanisi wake ni 100%

LIKUD umenikumbusha enzi za ukoloni Kinjiketile Ngwale na wafuasi wake dhidi ya mzungu.

Jamaa aliwaingiza mkenge wafuasi wake kwa kutumia uchawi wake uchwara, kilichowakuta majamaa sio Cha kuelezea kabisa. Uchawi wa waafrika Ni wa hovyo Sana kiukweli.
 
Kama mti wa mtende uotavyo jangwaniii dhoruba jua kali bado huwa imara...

Kama vile vile mtende ndivyo nasi twapaswa kusimama katikati ya majaribu tukiwa pamoja naye Yesu ....tutatembea popote tukiwa na Yesu ni salama ndiye rafiki wa kweli ushindi wetu hakika kwa yesu
 
ukisoma kwa makini utagundua hili bandiko lina viambata vya udini na ulimbukeni, lukudi ni muhuni mmoja tu amabe akikutana na majuha wenzake anaonekana ana akili kumbe kichwa box
 
Very well said and absolutely right
 
"MZUNGU" atatafuta mahali AMBAPO kuna tatizo kisha atatengeneza solution. Watu watamfuata tu kufuata hiyo solution..[/QUOTE]

na kama hakuna tatizo atatengeneza tatizo na solution vyote kwa pamoja[emoji848]
 
Ile stori ulileta ya Juma Njemba ilikuwa ya kusisimua sana, japo huwa sisomi majarida, ile nilisoma yote...
Lakini hukumalizia ukala kona......
 
Hapo mswahili angeenda kuchukia mizizi ya mtende akaanza kutembea nayo ili asijaribiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…