Chemiker
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 506
- 108
Mimi ni msikilizaji wa kipindi cha "Njia panda" na huwa nikimaliza kusikiliza tu hubadilisha fm mpaka J'pili nyingine tena.Lakini Leo bahati mbaya nilipitiliza kama dk 15 hivi.
Kuna jambo moja ambalo nime"note" kuna binti mmoja hivi anatangaza na huyo jamaa niliyemtaja hapo juu.Kwa kweli sauti yake imenipa ukakasi masikioni achilia mbali swaga zake, anajiita De Andy kama sijakosea.
Huyo binti anaswaga za ukakasi mpaka anaboa.Nafikiri hilo swaga kaazima. Yaani mpaka kero...akicheka tena ndio usiseme..aaagrrhh....!!! Mpaka nimehisi kichefuchefu.
Ushauri wangu: Presenters wa Radio kuweni original na Lafudhi zenu.Yaani inaboa sana mtu akakopi swaga za wengine kama huyo denti wa Clouds.