Unayetangaza na Raymond Mshana hiyo sauti ni yako au ya kuazima???

Unayetangaza na Raymond Mshana hiyo sauti ni yako au ya kuazima???

Chemiker

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
506
Reaction score
108
Mimi ni msikilizaji wa kipindi cha "Njia panda" na huwa nikimaliza kusikiliza tu hubadilisha fm mpaka J'pili nyingine tena.Lakini Leo bahati mbaya nilipitiliza kama dk 15 hivi.

Kuna jambo moja ambalo nime"note" kuna binti mmoja hivi anatangaza na huyo jamaa niliyemtaja hapo juu.Kwa kweli sauti yake imenipa ukakasi masikioni achilia mbali swaga zake, anajiita De Andy kama sijakosea.

Huyo binti anaswaga za ukakasi mpaka anaboa.Nafikiri hilo swaga kaazima. Yaani mpaka kero...akicheka tena ndio usiseme..aaagrrhh....!!! Mpaka nimehisi kichefuchefu.

Ushauri wangu: Presenters wa Radio kuweni original na Lafudhi zenu.Yaani inaboa sana mtu akakopi swaga za wengine kama huyo denti wa Clouds.
 
Mini mwenyewe ananikera kinoma hasa na Kiingereza chake cha kuungaunga cha 'You better take care of yourself and each other.' Wataalam wa lugha tunamuelekeza aseme 'Please take care of yourself and of others.' Sina uhakika kama aliendaga shule ya Kiingereza huyo dada. Inaelekea kanawaza kupigwa mashine tu hako.
 
Kiongozi,kusikiliza Clouds siyo dhambi hadi ukatangaza kuwa unasikiliza mara moja kwa wiki...
Mbona ndio radio zinazoongoza kusikilizwa hizo...
 
Kiongozi,kusikiliza Clouds siyo dhambi hadi ukatangaza kuwa unasikiliza mara moja kwa wiki...
Mbona ndio radio zinazoongoza kusikilizwa hizo...

si. dhambi ila ni aibu ndio maana jamaa kaanza kwa kujitetea
 
Back
Top Bottom