Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

Hili wazo ni zuri, sema kitakacho kwamisha ni swala zima la uaminifu. Kama wakipatukana watu serious na mkafanya mambo kwa uwazi na kisheria nawapa mwaka mmoja mnaamza kula kuku kwa mlija. Nawatakia kila la kheri, Mungu awaongoze.
 
Wazo zur ila sana, ila lina mambo meng ndan yake
1.Uaminifu kuanzia mtoa wazo ad watao jitokeza

2.ishakua biashara ya mtaj mkubwa, nazungumzia tamaa na usalit (TMT wa jangid plaza)

3.Madaraka nan atakua CEO?, nan atakua manager?

Ili amani ibak mahala pake naomba hili wazo tuachane nalo, Ontario kasepa bongo na kachufulia sana jina kisa mambo haya haya, ukiangalia kwa undan sana same circle katka mfumo tofaut
 
Kwahiyo kwahizo sekunde umeamini kweli jamaa ananijua na anakutakia mema ?


Sasa huyo Daud1990 akitaka kukutapeli mbona ni sekunde 3 tu !
Mkuu ni wazo zuri sana na la kujikwamua, ila sasa kwa huu usawa mambo yamechange sana, ndani ya huo muungano lazima watakuwepo na wale wa mjukuu wangu ile ndagu niliyokupa...... Ile hela tuma kwenye......,
 
 
Mkuu ni wazo zuri sana na la kujikwamua, ila sasa kwa huu usawa mambo yamechange sana, ndani ya huo muungano lazima watakuwepo na wale wa mjukuu wangu ile ndagu niliyokupa...... Ile hela tuma kwenye......,
Mbona VodaCom, CRDB, NMB yanafanyika haya hakuna hayo mambo unayosema?


Kwahiyo hayo mambo ya mjukuu wangu yataisha lini ili watu waanze kufanya kazi ?
 
Hiyo ndio shida yetu tu, vinginevyo ni wazo zuri tu!
Hakuna wazo zuri hapo mkuu, ebu jarubu kusoma alicho kiandika mleta Uzi. Na ukiwa makini sana utagundua nini anacho kimaanisha hapo.
Wajinga ndio waliwao mkuu, pamoja na kwamba vijana wanahitaji fursa, lakini usikubali ukageuka kuwa wewe ndio fursa inayo tafutwa.... tehteehhh
 
Mada nzito sana hii kwa upeo wako Mkuu. Nunua boda boda 2 uwakabidhi vijana ugange njaa !
 
waelezee "taratibu zote za kisheria" zitakavyofuatwa

NB: 150,000 MARA 6 NI SAWA SAWA NA 900,000=
 
waelezee "taratibu zote za kisheria" zitakavyofuatwa

NB: 150,000 MARA 6 NI SAWA SAWA NA 900,000=
- Ndugu yangu yaani unaonekana una TEMPER ya AJABU utafikiri ndio ushatapeliwa tayari, Wabongo bana !

Anyway taratibu ni:

1. Kufungua Akaunti ya pamoja yenye signatories kuanzia 10 au kulingana na utaratibu mzuri zaidi

2. Kufungua kampuni ( LIMITED Co. ) kwa mujijbu wa sheria zote JMT zilizopo !

3. Kuweka mfumo mzuri wa kuajiri watu wote muhimu kwenye uendeshaji wa kampuni kama MM, CEO, Technical Advisor n.k
 
wazo zuri sana, shida itakuja baada ya hiyo pesa kupatikana namna ya
kumanage hiyo biashara
 
Biashara ya watu 50 hata mngekuwa ndugu hilo ni ngumu kufanyika
 
wazo zuri sana, shida itakuja baada ya hiyo pesa kupatikana namna ya
kumanage hiyo biashara
Biashara itakuwa managed na wataalamu ndio maana tunafuata taratibu na kanuni zote za kibiashara
 
Nasema tena Be warned Be Warned Be Warned.


Mwenye masikio na asikie.


Msije kusema sikuwaambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…