Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza babyshem nijifunze kupitia weweBaby shem tujitose na sisi![emoji6]
sijaandika neno utapeli kwenye sentensi yangu hapo broHapo utapeli unakujaje Mkuu, yaani kwa mfumo huo hapo juu nilivyoelezea [HASHTAG]#UNATAPELIWAJE[/HASHTAG] ?
Mkuu ni wazo zuri sana na la kujikwamua, ila sasa kwa huu usawa mambo yamechange sana, ndani ya huo muungano lazima watakuwepo na wale wa mjukuu wangu ile ndagu niliyokupa...... Ile hela tuma kwenye......,Kwahiyo kwahizo sekunde umeamini kweli jamaa ananijua na anakutakia mema ?
Sasa huyo Daud1990 akitaka kukutapeli mbona ni sekunde 3 tu !
Wazo zur ila sana, ila lina mambo meng ndan yake
1.Uaminifu kuanzia mtoa wazo ad watao jitokeza[
/QUOTE]Hakuna haja ya uaminifu wakati SHERIA zipo na zinasimamia kila kitu.
Tamaa inakujaje wakati kila mtu anakuwa ana HISA zake kisheria na ana POWER ya kuzifanyia CHOCHOTE. Unataka kusema CRDB au VodaCom wanahisa pia wanatamaa ya hisa za wenzao. Hii haifanani kabisa na TMT wala hata usifananishe2.ishakua biashara ya mtaj mkubwa, nazungumzia tamaa na usaliti (TMT wa jangid plaza)
Ndugu, kampuni siyo chama cha siasa, CEO anaajiriwa mtu mwenye UWEZO. Na mwenye uwezo wa kuipeleka kampuni mbele3.Madaraka nan atakua CEO?, nan atakua manager?
Mbona VodaCom, CRDB, NMB yanafanyika haya hakuna hayo mambo unayosema?Mkuu ni wazo zuri sana na la kujikwamua, ila sasa kwa huu usawa mambo yamechange sana, ndani ya huo muungano lazima watakuwepo na wale wa mjukuu wangu ile ndagu niliyokupa...... Ile hela tuma kwenye......,
Hakuna wazo zuri hapo mkuu, ebu jarubu kusoma alicho kiandika mleta Uzi. Na ukiwa makini sana utagundua nini anacho kimaanisha hapo.Hiyo ndio shida yetu tu, vinginevyo ni wazo zuri tu!
Mada nzito sana hii kwa upeo wako Mkuu. Nunua boda boda 2 uwakabidhi vijana ugange njaa !Hakuna wazo zuri hapo mkuu, ebu jarubu kusoma alicho kiandika mleta Uzi. Na ukiwa makini sana utagundua nini anacho kimaanisha hapo.
Wajinga ndio waliwao mkuu, pamoja na kwamba vijana wanahitaji fursa, lakini usikubali ukageuka kuwa wewe ndio fursa inayo tafutwa.... tehteehhh
waelezee "taratibu zote za kisheria" zitakavyofuatwaKwema Vijana Wenzangu ?
Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia !
Mitaji yetu ni kiduchu, tutakuwa watumwa wa watu mpaka lini, tutakuwa machinga mpaka lini ??
Sasa kama na wewe umechoka kama mimi, nakushirikisha njia HALALI, RAHISI na ya KISASA ya kujikwamua KIMAISHA.
Wanahitajika "VIJANA 50 NET" walio COMMITED, SMART, FOCUSED, WAAMINIFU, HARDWORKER na WENYE SUBIRA !
Nini tutafanya:
Nimeshafanya "survey" kwa manufacturers wa bidhaa kadhaa China, India, Iran na kwingine nimeona ni namna gani biashara za [HASHTAG]#Wholesaling[/HASHTAG]" zina "ROI" nzuri
- Sisi tutakuwa tutafungua akaunti ya pamoja, tutaweka Tsh 150,000 kila mwezi kwa miezi 6 then baada ya hapo, tutazungumza na Manufacturers wa bidhaa tunazotaka, zikiletwa tunauza kwenye Retail Stores na Supermarkets
- Kwa lugha rahisi tutafanya [HASHTAG]#Marketing[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BrandBuilding[/HASHTAG]
Taratibu zote za kisheria zitafuatwa. Kama una swali uliza:
- Ndugu yangu yaani unaonekana una TEMPER ya AJABU utafikiri ndio ushatapeliwa tayari, Wabongo bana !waelezee "taratibu zote za kisheria" zitakavyofuatwa
NB: 150,000 MARA 6 NI SAWA SAWA NA 900,000=
wazo zuri sana, shida itakuja baada ya hiyo pesa kupatikana namna yaKwema Vijana Wenzangu ?
Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia !
Mitaji yetu ni kiduchu, tutakuwa watumwa wa watu mpaka lini, tutakuwa machinga mpaka lini ??
Sasa kama na wewe umechoka kama mimi, nakushirikisha njia HALALI, RAHISI na ya KISASA ya kujikwamua KIMAISHA.
Wanahitajika "VIJANA 50 NET" walio COMMITED, SMART, FOCUSED, WAAMINIFU, HARDWORKER na WENYE SUBIRA !
Nini tutafanya:
Nimeshafanya "survey" kwa manufacturers wa bidhaa kadhaa China, India, Iran na kwingine nimeona ni namna gani biashara za [HASHTAG]#Wholesaling[/HASHTAG]" zina "ROI" nzuri
- Sisi tutakuwa tutafungua akaunti ya pamoja, tutaweka Tsh 150,000 kila mwezi kwa miezi 6 then baada ya hapo, tutazungumza na Manufacturers wa bidhaa tunazotaka, zikiletwa tunauza kwenye Retail Stores na Supermarkets
- Kwa lugha rahisi tutafanya [HASHTAG]#Marketing[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BrandBuilding[/HASHTAG]
Taratibu zote za kisheria zitafuatwa. Kama una swali uliza:
Biashara ya watu 50 hata mngekuwa ndugu hilo ni ngumu kufanyikaKwema Vijana Wenzangu ?