Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

Kwema Vijana Wenzangu ?

Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia !

Mitaji yetu ni kiduchu, tutakuwa watumwa wa watu mpaka lini, tutakuwa machinga mpaka lini ??

Sasa kama na wewe umechoka kama mimi, nakushirikisha njia HALALI, RAHISI na ya KISASA ya kujikwamua KIMAISHA.

Wanahitajika "VIJANA 50 NET" walio COMMITED, SMART, FOCUSED, WAAMINIFU, HARDWORKER na WENYE SUBIRA !

Nini tutafanya:

Nimeshafanya "survey" kwa manufacturers wa bidhaa kadhaa China, India, Iran na kwingine nimeona ni namna gani biashara za [HASHTAG]#Wholesaling[/HASHTAG]" zina "ROI" nzuri

- Sisi tutakuwa tutafungua akaunti ya pamoja, tutaweka Tsh 150,000 kila mwezi kwa miezi 6 then baada ya hapo, tutazungumza na Manufacturers wa bidhaa tunazotaka, zikiletwa tunauza kwenye Retail Stores na Supermarkets

- Kwa lugha rahisi tutafanya [HASHTAG]#Marketing[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BrandBuilding[/HASHTAG]

Taratibu zote za kisheria zitafuatwa. Kama una swali uliza:
uzi hafifu sana kwenye mambo ya msingi
 
weka nyama tujue kama ni kweli, uzi haufanani na kichwa chake.
Ndio maana nikasema kama una swali unaweza kuuliza sehemu ambayo hujaelewa, kuwa huru hata kama kuna mahala unaona kuna utapeli sema.
 
kwa hyo unataka hyo hela uwe unaniwekea kwenye akount yangu mpka hapo badae biashara ikianza au inakuwaje
 
Panya wengi hawachimbi shimo mkuu.. afu hao crdb, nmb, voda unaosema walianza wakawa na cha kuonyesha kwanza kabla ya ku mobilise wawekezaji wengi.

Nashauri upunguze idadi ya hao wanahisa hata kama muda wa kutimiza lengo utaongezeka kdg
 
Kwema Vijana Wenzangu ?

Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia !

Mitaji yetu ni kiduchu, tutakuwa watumwa wa watu mpaka lini, tutakuwa machinga mpaka lini ??

Sasa kama na wewe umechoka kama mimi, nakushirikisha njia HALALI, RAHISI na ya KISASA ya kujikwamua KIMAISHA.

Wanahitajika "VIJANA 50 NET" walio COMMITED, SMART, FOCUSED, WAAMINIFU, HARDWORKER na WENYE SUBIRA !

Nini tutafanya:

Nimeshafanya "survey" kwa manufacturers wa bidhaa kadhaa China, India, Iran na kwingine nimeona ni namna gani biashara za [HASHTAG]#Wholesaling[/HASHTAG]" zina "ROI" nzuri

- Sisi tutakuwa tutafungua akaunti ya pamoja, tutaweka Tsh 150,000 kila mwezi kwa miezi 6 then baada ya hapo, tutazungumza na Manufacturers wa bidhaa tunazotaka, zikiletwa tunauza kwenye Retail Stores na Supermarkets

- Kwa lugha rahisi tutafanya [HASHTAG]#Marketing[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BrandBuilding[/HASHTAG]

Taratibu zote za kisheria zitafuatwa. Kama una swali uliza:
ni wazo zuri ila tatizo kiwango cha watu ni tatizo how 50 people can run business with one common interest kama sio mwisho wa siku mkunjane mashati huko sokoni
 
Kitu kimoja kieleweke kama mimi mfano nikiwa na idea nzuri inahusu biashara siwezi shilikisha sijui nduguzangu au watu wa mtaani kwasababu hakuna mtu mwenye mtazamo kama wangu wengi wao hata awajui maneno madogo tu kama hisa, stock, investment ipoje na vitu kibao katika hii nyanja, so watu serious utawapata katika platform kama hii ambapo watu wanauwelewa mambo ya financial education at least, sasa unapotokea mtu unasema awaeleze nduguzake unakuwa upo timamu kweli.

Binafsi nimekuwa na idea nimekutana na mtu humuhumu physical na kuweka mambo sawa furesh tu.

Nafanya biashara na watu zaidi ya mia ambao source mtandaoni mpaka wameonana physical mpaka sasahivi wanataka kisajiri kampuni.

Sasa wewe endelea na sera za kitapeli tapeli.
 
Panya wengi hawachimbi shimo mkuu.. afu hao crdb, nmb, voda unaosema walianza wakawa na cha kuonyesha kwanza kabla ya ku mobilise wawekezaji wengi.

Nashauri upunguze idadi ya hao wanahisa hata kama muda wa kutimiza lengo utaongezeka kdg
Tatizo hapa nadhani ni uendeshaji wa kampuni katika mfumo rasmi. Huko Marekani Silicon Valley watu wanawekeza kwenye makampuni ya aina gani, kama siyo kwenye IDEATION PHASE kabisa ??

Hivi kwa kuwa kampuni kama VodaCom ilikuwa haijasajiliwa DSE unafikiri ilikuwa inamilikiwa na mtu mmoja ?

Huyo Rostam Aziz alinunua share zake lini, maana alikuwa nazo hata kabla ya kampuni haijasajiliwa DSE ?
 
ni wazo zuri ila tatizo kiwango cha watu ni tatizo how 50 people can run business with one common interest kama sio mwisho wa siku mkunjane mashati huko sokoni
How many people do own VodaCom ?.

Do they all run the day-to-day activities of the company ?

Why do you think this is going to be different from the way corporates are run ?
 
kwa hyo unataka hyo hela uwe unaniwekea kwenye akount yangu mpka hapo badae biashara ikianza au inakuwaje
Mkuu kwa lugha rahisi ni kwamba, kama biashara inataka mtaji wa LAKI 5 na watu 5 then mnachanga laki 1 kila mtu mtaji unatosha mnafungua !
 
How many people do own VodaCom ?.

Do they all run the day-to-day activities of the company ?

Why do you this is going to be different from the way corporates are run ?
brother we unadhan vodacom ilianza kwa kuwa na watu 50.... sio hivyo in begining always few people can be one person,two to three.... hao ndio huwa wanarisk capital yao na kuwa real committed but after sometime wakishaanza kuona profit na kutaka ku expand business na wanaanza kuuza hisa ili kukuza mtaji lakn sio kwamba waanza na watu wengi brother....... biashara sio rahisi hivyo kwa kuweza kuinvolve na watu wengi hivyooo
 
Mkuu, hata huko silicon valley kuna vitu wanaangalia kabla ya kuwekeza: track record ya promoters, viability ya wazo (aina ya bidhaa, soko, ushindani, hali ya uchumi..), nk.. Hayo hujaweka hapa.. Hao voda ni scale tofauti kabisa na unachoongea hapa ndg
 
Mkuu hayo ni masuala "Next" kutokana na utayari wa watu kuhusu suala husika.

Na hao Voda nimewatumia kwa kuwa ni Kampuni maarufu inafahamika ili watu waelewe !
 
Ni wazo zuri japo kiutekelezaji bado lina maswali mengi kuliko majibu! Mi nadhani kama wewe ni intellectual ungekuja na plan nzima ya hii kitu ipoje kwanza hapo ndipo wadau wataanza kuona mantiki ya wazo lako. Ndiyo maana watu wanashindwa kulielewa wazo lake kwa sababu bado limejifungia ndani kama mwali linatakiwa litoke nje watu walione vizuri katika pande zake zote!

Kama ulivyo-initiate hili wazo pia initiate plan nzima ya wazo lako kwa ukamilifu then liweke hapa jukwaani. Kwanza utapata input nyingi sana positive na pili utaongeza ushawishi kwa watu kujiunga. Huwezi kwenda vitani bila mpango wa vita unaoeleweka eti kila kitu mbele kwa mbele huko. Ni lazima utachezea kichapo tu. LETE PLAN NZIMA KWANZA TUANZIE HAPO.
 
brother we unadhan vodacom ilianza kwa kuwa na watu 50.... sio hivyo in begining always few people can be one person,two to three.... hao ndio huwa wanarisk capital yao na kuwa real committed but after sometime wakishaanza kuona profit na kutaka ku expand business na wanaanza kuuza hisa ili kukuza mtaji lakn sio kwamba waanza na watu wengi brother....... biashara sio rahisi hivyo kwa kuweza kuinvolve na watu wengi hivyooo
Mkuu hebu jaribu kuona hawa wachina FOSUN INTERNATIONAL walianza watu wangapi ?
 
Ni wazo zuri japo kiutekelezaji bado lina maswali mengi kuliko majibu! Mi nadhani kama wewe ni intellectual ungekuja na plan nzima ya hii kitu ipoje kwanza hapo ndipo wadau wataanza kuona mantiki ya wazo lako. Ndiyo maana watu wanashindwa kulielewa wazo lake kwa sababu bado limejifungia ndani kama mwali linatakiwa litoke nje watu walione vizuri katika pande zake zote!

Kama ulivyo-initiate hili wazo pia initiate lete plan ya wazo lako kwa ukamilifu then liweke hapa jukwaani. Kwanza utapata input nyingi sana positive na pili utaongeza ushawishi kwa watu kujiunga. Huwezi kwenda vitani bila mpango wa vita unaoeleweka eti kila kitu mbele kwa mbele huko. Ni lazima utachezea kichapo tu. LETE PLAN NZIMA KWANZA TUANZIE HAPO.
Mkuu hakuna kitu kigumu duniani kama UBUNIFU na KUFIKIRI.

- Wazo hilo ukiliweka hapa kesho tu mtu anachukua pesa zake anafanya, unabaki huna chako. Ishtoshe ni wazo ambalo nimehangaika nalo mwenyewe mpaka kutengeneza roadmap tangu 2013
 
Back
Top Bottom