Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

Jaman kujaribu hakuna mwsho ttzo letu tena lakurithi naamn utapeli ni mwng sana cjui kwnn wazo n zur sana ttzo security ya hela za watu mwenzenu nishapigwa sana mpango wangu ni mmoja tu kuhama nchi hii nikapambane nikipata m.20 nakuja kununua gar yangu then natulia kaz ambayo haina dalali wala nn.
 
Wabongo Tatizo uaminifu!
Unaweza ukaamini kama mpo pamoja Kumbe mwenzio ana wazo la kukupiga panga!
Yaan hapa tu ndo panapotatiza. Tunaishi kwa kunyemeleana mno[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wazo zuri sana hilo kwa miezi sita mtakuwa na mtaji wa sh milioni 45. Mngewekeza kwenye kilimo cha kisasa au mradi wa ufugaji kuku wa kienyeji kisasa baada ya mwaka.mmoja mngekuwa na mkwanja wa kutosha tu. Think about it
Unaona sasa Tabu ilipo, mtoa mada anawaza kuagiza bidhaa kutoka China, wewe unawaza ukulima na ufugaji
 
Cc John January John January
 
Hivi uwongo unakupa faida gani Mkuu ?

Au Watu wakiendelea kuwa masikini wewe unafaidika na nini ?

Weka hapa hata picha yangu kama unanifahamu IN PERSON, mimi najitoa JF !!
mbona km unatumia nguvu kubwa sana kujitetea?
 
Kwann tusiseme watafutwe wenye mtaji wa sh laki na nusu mara 6 yaani milioni 9 kila mmoja waungane waagize mzigo ii masuala ya kuchanga kwa muda wa miezi 6 nahis kuna watu watalia
 
Wabongo Tatizo uaminifu!
Unaweza ukaamini kama mpo pamoja Kumbe mwenzio ana wazo la kukupiga panga!
ni kweli na vita mbaya Watanzania ni kukosa uaminifu na kuaminiana. hilo wazo ni jema endapo litawekwa kwenye MU so itakuwa kampuni, pawe na wataalamu wa masoko, wauzaji na wasimamizi wenye taaluma hiyo, nakwambia muda mfupi mtakuwa na turn over taam kabisa.
lkn kibongo bongo lazima migogoro ya simba na yanga iingizwe hatimaye kampuni itakufwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…