Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Kwema Vijana Wenzangu ?

Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia !

Mitaji yetu ni kiduchu, tutakuwa watumwa wa watu mpaka lini, tutakuwa machinga mpaka lini ??

Sasa kama na wewe umechoka kama mimi, nakushirikisha njia HALALI, RAHISI na ya KISASA ya kujikwamua KIMAISHA.

Wanahitajika "VIJANA 50 NET" walio COMMITED, SMART, FOCUSED, WAAMINIFU, HARDWORKER na WENYE SUBIRA !

Nini tutafanya:

Nimeshafanya "survey" kwa manufacturers wa bidhaa kadhaa China, India, Iran na kwingine nimeona ni namna gani biashara za [HASHTAG]#Wholesaling[/HASHTAG]" zina "ROI" nzuri

- Sisi tutakuwa tutafungua akaunti ya pamoja, tutaweka Tsh 150,000 kila mwezi kwa miezi 6 then baada ya hapo, tutazungumza na Manufacturers wa bidhaa tunazotaka, zikiletwa tunauza kwenye Retail Stores na Supermarkets

- Kwa lugha rahisi tutafanya [HASHTAG]#Marketing[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BrandBuilding[/HASHTAG]

Taratibu zote za kisheria zitafuatwa. Kama una swali uliza:
 
Wabongo Tatizo uaminifu!
Unaweza ukaamini kama mpo pamoja Kumbe mwenzio ana wazo la kukupiga panga!
Ndio maana nikasema kila kitu kiende [HASHTAG]#Kisheria[/HASHTAG].
- Inafunguliwa Akaunti na inakuwa na Signatories kadhaa.

- Pia inafunguliwa kampuni ( LLC ) na kila mtu anakuwa na [HASHTAG]#Hisa[/HASHTAG] ( sehemu ya umiliki wa kampuni na anapata faida kulingana na faida ilipatikana na mtaji wake aliowekeza .
 
Kwema Vijana Wenzangu ?

Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia !

Mitaji yetu ni kiduchu, tutakuwa watumwa wa watu mpaka lini, tutakuwa machinga mpaka lini ??

Sasa kama na wewe umechoka kama mimi, nakushirikisha njia HALALI, RAHISI na ya KISASA ya kujikwamua KIMAISHA.

Wanahitajika "VIJANA 50 NET" walio COMMITED, SMART, FOCUSED, WAAMINIFU, HARDWORKER na WENYE SUBIRA !

Nini tutafanya:

Nimeshafanya "survey" kwa manufacturers wa bidhaa kadhaa China, India, Iran na kwingine nimeona ni namna gani biashara za [HASHTAG]#Wholesaling[/HASHTAG]" zina "ROI" nzuri

- Sisi tutakuwa tutafungua akaunti ya pamoja, tutaweka Tsh 150,000 kila mwezi kwa miezi 6 then baada ya hapo, tutazungumza na Manufacturers wa bidhaa tunazotaka, zikiletwa tunauza kwenye Retail Stores na Supermarkets

- Kwa lugha rahisi tutafanya [HASHTAG]#Marketing[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BrandBuilding[/HASHTAG]

Taratibu zote za kisheria zitafuatwa. Kama una swali uliza:
Wazo zuri sana hilo kwa miezi sita mtakuwa na mtaji wa sh milioni 45. Mngewekeza kwenye kilimo cha kisasa au mradi wa ufugaji kuku wa kienyeji kisasa baada ya mwaka.mmoja mngekuwa na mkwanja wa kutosha tu. Think about it
 
Be careful guys and warned.

Kuna jamaa ninamfaham humu jamii forum in personal kabisa huwa anakuja na hivi vimawazo vya kujikwamua mwisho wa siku ni utapeli.

Nasema tena kuweni makini.
Hivi uwongo unakupa faida gani Mkuu ?

Au Watu wakiendelea kuwa masikini wewe unafaidika na nini ?

Weka hapa hata picha yangu kama unanifahamu IN PERSON, mimi najitoa JF !!
 
Wanaotaka kupima kina cha bahari na kipande cha mti(kijiti) waende

kila la heri
Hapo utapeli unakujaje Mkuu, yaani kwa mfumo huo hapo juu nilivyoelezea [HASHTAG]#UNATAPELIWAJE[/HASHTAG] ?
 
Wazo zuri sana hilo kwa miezi sita mtakuwa na mtaji wa sh milioni 45. Mngewekeza kwenye kilimo cha kisasa au mradi wa ufugaji kuku wa kienyeji kisasa baada ya mwaka.mmoja mngekuwa na mkwanja wa kutosha tu. Think about it
Let me give it a try. Kama ikishindikana basi tuendelee kuwa VIBARUA KWENYE VIWANDA VYA WAHINDI !
 
Wabongo Tatizo uaminifu!
Unaweza ukaamini kama mpo pamoja Kumbe mwenzio ana wazo la kukupiga panga!
Wapemba mbona wametoka sana kwa project kama hizo,Angalia kariakoo maduka yametawaliwa na Wapemba kwa mipango kama hiyo,..

Wabongo achana nao uaminifu hamna,kutokuwa na uaminifu ndio inawafanya vijana wa Tanganyika wafe masikini..
 
Siyo wapemba tu, nchi za Ulaya, Marekani, China, India biashara hizi ni common.

Mimi huwa nashangaa kama wabongo wako sensitive sana na Utapeli kwanini huwa wanatapeliwa sana ?
 
Be careful guys and warned.

Kuna jamaa ninamfaham humu jamii forum in personal kabisa huwa anakuja na hivi vimawazo vya kujikwamua mwisho wa siku ni utapeli.

Nasema tena kuweni makini.
Asante kwa tahadhari
 
Back
Top Bottom