Unazeeka jione hapa

Unazeeka jione hapa

Umri umesogea Sana na namiliki simu yangu tu ya tecno ambayo muda wowote naweza porwa[emoji1787][emoji1787]
Huyo mwizi atakae kupora mtoto mdogo kama wewe haendi mbinguni hata kwa msamaha 😂😂😂
 
Kabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.

Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.

Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.
A wapi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom