Unazijua namba za simu za matapeli?

Unazijua namba za simu za matapeli?

East African Eagle

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
3,759
Reaction score
2,206
Je unazijua namba za matapeli? Zibandike hapa ukieleza utapeli wao unahusika na nini ili wana jamii forums wajiepushe nao na vyombo husika vipate taarifa vishughulike nao.Karibuni.
 
Wana mbinu mbali mbali wanazotumia,mmoja wapo Joseph sanga(0686112313)
 
Hao wanajifanya kukujua saana wanakupa mpango wa pesa ukizibaa unaibiwa
 
Back
Top Bottom