Unazikumbuka enzi za Barua!

Unazikumbuka enzi za Barua!

Duu Umenikumbusha mbali sana. Hata kampuni ya Posta walikuwa wanatudangaya - wanatuuzia airform (karatasi ya kuandikia barua ambayo ni bahasha hiyohiyo) halafu imeandikwa " ukiweka kitu chochote ndani, haitasafirishwa kwa ndege" sasa sijui vijijini ndege zilikuwa zinatua wapi?

Halafu kwenye barua unaandika ' salaam zikufikie hapo ulipo, ama baada ya salaam je u hali gani? Upendapo kujua hali yangu mimi ni mzima wa afya njema hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu! haa haa haa du.

Ha ha ha ha yaani nimekumbuka kweli YCS nilikuwa nakwenda kutafuta wanawake tu wala si kusali ujana mbaya jamani. Barua unazimwaga kwa sana ila zilikuwa raha eti unarudi chumbani na barua ulizojibiwa unazirudia kuzisoma mara mbili mbili raha kweli enzi hizo
 
mi hizo barua nakumbuka zilivyokuwa zinanizingua,
mshiko unaisha, unatuma barua nyumbani kuomba pesa wanajifanya kama hawajaipata vile dah...
demu wangu alikuwa hanitumii barua na mm simtumii tunakutana mwezi wa6 na disemba kitaa.

umenikumbusha na mimi yalikuwa yananikuta hayo,unawwandikia home wanajifanya haifika,ilikuwa balaa!!

pia umenikumbusha mambo ya Reverse call,unapiga simu home ndio wanailipia,but unakaa osfisi za simu kama masaa 3 unasubilia simu yako!
 
Da umenikumbusha mbali mkuu,enzi zile nilikuwa na demu korogwe girls,karatasi lazima iwe ya rangi rangi,mwandiko wa kuremba,michoro ya kufa mtu alafu lazima apulizie perfume.vitu kama hivi ndo huwa vinanifurahisha kwenye mapenzi mpaka leo ninazo hizo barua
 
Halafu zilikuwepo zile Telegramu hizi zimeuwawa pia na mobile phones. shule unafundishwa kuandika msg fupi maana kila neno linalipiwa

Masapo kunawa
Box 10
Kiwanja

Mbwa wetu mgonjwa sana
jibaba
 
Halafu zilikuwepo zile Telegramu hizi zimeuwawa pia na mobile phones. shule unafundishwa kuandiha msg fupi maana kila neno linalipiwa

Masapo kunawa
Box 10
Kiwanja

Mbwa wetu mgonjwa sana
jibaba

hahahahaha duh kweli zamani ni zamani mm nafikiri love ya zamani ilikuwa real
 
barua zilikuwa zina raha sana nakumbuka nilikuwa najifungua masaa mawili kuandika barua na baada ya kuifunga ukishenda kuiposti unahakikisha imeingia vizuri kwenye kile kibox ili mtu hasije kusema hajaipata. Na ukishaituma tu unakuwa makini kusikiliza barua zinaposomwa shuleni na ukitajwa unafurahi kupita maelezo. Nakumbuka kuna dada mmoja alikuwa anasoma Kibosho Girls enzi hizo kibosho girls kibosho girls kweli unaambiwa nilikuwa nikipata barua yake naoga kabisa napanda kwenye double decker juu shuleni naisoma mara kumi. Kuna siku alinitumia picha yake kavaa kishati kitovu kinaonekana unaambia nilidata sikusoma siku tatu kila mwalimu akiingia darasani akiwa anaandika ubaoni mie naichungulia ile picha mpaka ukachakaa kabisa ndani ya wiki

Mnakumbuka stempu za kufoji, mtu unasugua stempu kichwani kuondoa ule muhuri wa posta halafu unaitumia stempu hiyo hiyo kumwandikia barua mtu mwingine, halafu posta wakiishtukia inarudishwa kupitia address uliyoondika
 
duh hapo kwenye kufoji stamp kaka zilikuwa zinaparuzwa kisanii ,nami nlikuwa na mtoto hapo kibosho ,shauritanga loleza mkikutana june /dec its so good, letters zinafeling zake bana!
 
hapa naona mnasema tu, ebu mmoja atuandikie barua anayoikumbuka, iwe ameituma au ametumiwa ili angalau tukumbukie, mm kama nimesahau! ebu tumwagieni jamani
 
Hahahaaa, mie nakumbuka kuna mkaka mmoja alikuwa jirani yetu, nikiwa Form 3, basi akawa akiniandikia barua za kuntongodha, nikamwambia simtaki weee! Akanirudishia majibu kwenye TP(aka Toilet Paper) wee siku hiyo nililia hadi nkaugua
 
hapa naona mnasema tu, ebu mmoja atuandikie barua anayoikumbuka, iwe ameituma au ametumiwa ili angalau tukumbukie, mm kama nimesahau! ebu tumwagieni jamani

beautiful j nakusalimu mpenzi mm mzima sana natumai nawe waendelea vizuri dhumuni la barua ni kukujulia hali ,huku mpenzi kuna Baridi inachoma kama miiba ila ndo hivyo tunajikaza tu ,si unajua tunapiga kitabu ili tujenge maisha yetu.Halafu honey mbona nimekuambia unitumie picha nyingine lakini hujaituma mm sipendi hivyo unajua mwenzio ninakumiss! I want to tel u this i love u so much and u mean a lot to me !salimu wote wanaonifahamu kupitia kwako! DEDICATION: the boy is mine" brandy norwod"!, nimejaribu kuvuta feelin za kitambo kile sijui nimepatia!?
 
Ngoja niandike barua hapa mara moja...mhusika akiiona atajua inamhusu!!

Lizzy
AYT(anuani ya tovuti) JF
Tanzania

Mpendwa MM,

Dhumuni la barua hii ni kutaka kukupa jibu la ombi lako ulilonifikishia takiribani mwezi sasa.Ila kwanza naomba unijulie hali yako ili nipate amani na furaha moyoni kusikia u mzima wa afya.Binafsi si mgonjwa ila upweke unanitawala kwa kutoweza kukutia machoni kila uwapo mawazoni mwangu.

Tangu siku ya kwanza unanisalimia pale tulipokutana mara ya kwanza nilijikuta navutiwa nawe kwa ustaarabu uliouonyesha.Siwezi kusema nilikupenda ghafla maana ntakua nakudanganya na ninajidanganya pia.Lakini kadiri siku zinavyokimbia ndivyo moyo wangu hua unaongezeka mapigo pale nisikiapo kutoka kwako.Naomba nikwambie ukweli kwamba uliponitamkia mara ya kwamba wanipenda nilishangaa sana maana sikutegemea maneno yale ndani ya kipindi kifupi tu ulichopata kunifahamu.Taratibu nilianza kukuelewa na kuamini kwamba inawezekana maana mapenzi hayapangiliwi.

Baada ya kuchukua muda wangu kukusoma na kukufahamu nimeamua na ningependa kuwa wako mpenzi au hata mkeo huko mbeleni kama nia yako ni thabiti.Nakubali kwasababu nimegundua u mwanaume mzuri mwenye heshima kwa watu na pia mwenye kujiheshimu...mwenye mapenzi na mwenye kujali...mwenye sauti ya kuremba masikio yangu kama kinanda kinachopigwa kwa ujuzi na pia mwenye kujituma.Naahidi ntakua nawe bega kwa bega iwe kwa shida na raha...ntakupenda kwa moyo wangu wote bila kusahau kukuheshimu wewe na mawazo yako.

Natumai barua hii itakuacha mwenye furaha hata kama ilikukuta na huzuni.Naomba utabasamu kwaajili yangu japo sikuoni furaha yako ni yangu pia.Nakupenda sana ewe mfalme wa moyo wangu na ninatumai nitabaki kua malkia na mtawala pekee wa moyo wako.

Wako akupendae Lizzy!

PS
Asante sana kwa nauli ntajitahidi pindi nipatapo nafasi nije mjini kukuona.Natamani sana kuhisi joto lako na mikono yako ikinizunguka.Niyaone macho yako ukiniambia unanipenda pia kuninong‘oneza yaliyo moyoni mwako.ALAFU JIANDAE KULA CHAKULA KIZURI NTAKAPOKUJA...NDIZI UZIPENDAZO NTAKUJA NAZO MWENYEWE.
Kwaheri kwa sasa!
 
Barua unalala nayo unaamka usiku wa manane unasoma tena, wenye machozi ya karibu linakutoka tu bila sababu
 
Mi nakumbuka kuremba bahasha jamani...mara "kiss b4 u open", "u r 2 images.jpg 2 b 4 GO 10" DAMN..gud old days...
 
bigup bibie naona umeamua kuwakilisha...
 
Barua unalala nayo unaamka usiku wa manane unasoma tena, wenye machozi ya karibu linakutoka tu bila sababu
Enzi zile ilikuwa raha sana, ajabu siku hizi wanafanya watoto wetu wa miaka chini ya kumi, ndio utakuta kaandika kibarua kakamatwa shuleni mzazi eti unaitw a ukamkanye mtoto
 
Ngoja niandike barua hapa mara moja...mhusika akiiona atajua inamhusu!!

Lizzy
AYT(anuani ya tovuti) JF
Tanzania

Mpendwa MM,

Dhumuni la barua hii ni kutaka kukupa jibu la ombi lako ulilonifikishia takiribani mwezi sasa.Ila kwanza naomba unijulie hali yako ili nipate amani na furaha moyoni kusikia u mzima wa afya.Binafsi si mgonjwa ila upweke unanitawala kwa kutoweza kukutia machoni kila uwapo mawazoni mwangu.

Tangu siku ya kwanza unanisalimia pale tulipokutana mara ya kwanza nilijikuta navutiwa nawe kwa ustaarabu uliouonyesha.Siwezi kusema nilikupenda ghafla maana ntakua nakudanganya na ninajidanganya pia.Lakini kadiri siku zinavyokimbia ndivyo moyo wangu hua unaongezeka mapigo pale nisikiapo kutoka kwako.Naomba nikwambie ukweli kwamba uliponitamkia mara ya kwamba wanipenda nilishangaa sana maana sikutegemea maneno yale ndani ya kipindi kifupi tu ulichopata kunifahamu.Taratibu nilianza kukuelewa na kuamini kwamba inawezekana maana mapenzi hayapangiliwi.

Baada ya kuchukua muda wangu kukusoma na kukufahamu nimeamua na ningependa kuwa wako mpenzi au hata mkeo huko mbeleni kama nia yako ni thabiti.Nakubali kwasababu nimegundua u mwanaume mzuri mwenye heshima kwa watu na pia mwenye kujiheshimu...mwenye mapenzi na mwenye kujali...mwenye sauti ya kuremba masikio yangu kama kinanda kinachopigwa kwa ujuzi na pia mwenye kujituma.Naahidi ntakua nawe bega kwa bega iwe kwa shida na raha...ntakupenda kwa moyo wangu wote bila kusahau kukuheshimu wewe na mawazo yako.

Natumai barua hii itakuacha mwenye furaha hata kama ilikukuta na huzuni.Naomba utabasamu kwaajili yangu japo sikuoni furaha yako ni yangu pia.Nakupenda sana ewe mfalme wa moyo wangu na ninatumai nitabaki kua malkia na mtawala pekee wa moyo wako.

Wako akupendae Lizzy!

PS
Asante sana kwa nauli ntajitahidi pindi nipatapo nafasi nije mjini kukuona.Natamani sana kuhisi joto lako na mikono yako ikinizunguka.Niyaone macho yako ukiniambia unanipenda pia kuninong‘oneza yaliyo moyoni mwako.ALAFU JIANDAE KULA CHAKULA KIZURI NTAKAPOKUJA...NDIZI UZIPENDAZO NTAKUJA NAZO MWENYEWE.
Kwaheri kwa sasa!
kama nakuona enzi hizo migombani, hii lazima pages 5 zinaisha na ukiwa unaandika shingo umeilazia pembeni kwa jinsi unavojisikia
 
kama nakuona enzi hizo migombani, hii lazima pages 5 zinaisha na ukiwa unaandika shingo ueilazia pembeni kwa jinsi unavojisikia
Hahaha bahati mbaya sikupata hiyo bahati....ndo nimelipazia hapa!
 
Back
Top Bottom