Unazikumbuka enzi za Barua!

mi nilikamatwa nayo, ili kuwa binde maana ilibidi wazazi waitwe kujulishwa
 
Leo kuna njia mbalimbali za kuwasiliana ila kile kipindi tunaandikiana mabarua ",....kwako wewe uliyembali sijui na upeo wangu..,,.....," dhumuni la barua hii......"jamani barua (sio kadi) zimepoteza mvuto??? au ndo kwenda na wakati!

Maneno haya ilikuwa ni lazima yawepo: '... mpenzi ninakupenda sana, kula sili, kulala silali. Tafadhali naomba majibu mapema baada na hata kabla ya kupata barua hii ...' Lo, kilikuwa kipindi kizuri sana ambacho kizazi cha leo wanakosa mengi.
 
sasa kaka kwa ushauri wangu unaonaje tulejee enzi zetu maana vijana wanatupoteza bwana, sisi tuanze wataiga tu na kurudisha heshima ya barua
 
Niliacha kusoma na kuandika barua nilipoandikiwa mwishoni mwa barua ' usipopata hii barua nijulishe'

Niliishiwa nguvu kabisa
 
Maneno haya ilikuwa ni lazima yawepo: '... mpenzi ninakupenda sana, kula sili, kulala silali. Tafadhali naomba majibu mapema baada na hata kabla ya kupata barua hii ...' Lo, kilikuwa kipindi kizuri sana ambacho kizazi cha leo wanakosa mengi.

Hahahahahaaaa!...............umenivunja mbavu mdau sasa atjibuje wakati barua hata haijamfikia. so msomaji aliportray hamu yake ya kupata majibu. duh ilikuwa bomba na ukisoma lazima kesho utie ndani ya mfuko wa shule ukawaonyeshe ma-best kuwa unapendwa
 
Niliacha kusoma na kuandika barua nilipoandikiwa mwishoni mwa barua ' usipopata hii barua nijulishe'

Niliishiwa nguvu kabisa

hahahahaaaa.....! duh hiyo kali sasa utajuaje kuwa ulikuwa umeandikiwa barua na haikukufikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…