CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
nampenda, mpenda nani?,
kijana mmoja, nani?
ana macho madogo? nani?,
ni .........., malizieni! khaaaa umenikumbusha mbali! na turinge bayoyo, nimewafundisha wanangu, khaaaa wanatakaje sasa tukatike wote mpaka chini, khaaaaaa!
Hujambo Cheupe?Jieleze jieleze,
jieleze jieleze,
jieleze jieleze ntajieleza mama,
Mimi hapa ni Madame,
Mama yangu ni Salima
Baba yangu ni Kikwete.
nshajieleza mama.
Yani huo mwimbo unan'koshaga sana shost Charm na mamito cacico.
Simama Kaaaa Simama Kaaaaaaa
Rukarukarukaaaaaaaa
Simama Kaaaaaaaaaa
Hujambo Cheupe?
Kuchakachua thread ni Profession yangu kama una lingine sema ila kwa hilo usihangaike naomh unachakachua hadi thread,km wataka kumsalimia c u-pm?
Madame B tena ukiwa unaimba huo wimbo unajibetuaje? unaringa ringa afu unatikisa kiuno lolest. . .
Idi Amini wa Ugandabwana shamba had a farm e i e i oooooooo