CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
- Thread starter
- #41
Hv Aladji Aladji ni nyimbo ya S/msingi?
Kama sio mbona inaimbwa sana Mashuleni?
Erickb52 kama nakuona enzi hzo unavyovunja ngoko kwa Mabreka na SagaDance.
aaha tcha cku hz wanaimba aladji? dah kwa kweli watoto wetu wameharibikiwa. afu ukiwakuta wanacheza kiduku tena ule cjui ni wimbo au ni nini et "abha abha abha"x5 utalewa bila kunywa!
Last edited by a moderator: