AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Wakuu kwanza nimpongeze Mondy baba Tiffah kwa jitihada zake za kuinua vipaji vichanga, nafurah kuona anaendeleza kazi iliyoasisiwa na King of Bongo Flavor in East n Central Africa #Alikiba ambapo hata Diamond mwenyewe na wasanii kama Ommy Dimpoz,Queen Darlene ni zao la juhud za KingKiba kuinua vipaji.
Back to topic:
Ujio wa upcoming Artist Hamonize ambaye yupo chin ya udhamin wa Diamond, umetikisa na kuwa gumzo kwenye social networks hasa insta.
Ewe mwanaJf yapi maoni yako kuhusu hiki kipaji kipya?
Back to topic:
Ujio wa upcoming Artist Hamonize ambaye yupo chin ya udhamin wa Diamond, umetikisa na kuwa gumzo kwenye social networks hasa insta.
Ewe mwanaJf yapi maoni yako kuhusu hiki kipaji kipya?