Unazungumzia vipi ujio wa upcoming artist Harmonize kutoka Wasafi Label?

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Wakuu kwanza nimpongeze Mondy baba Tiffah kwa jitihada zake za kuinua vipaji vichanga, nafurah kuona anaendeleza kazi iliyoasisiwa na King of Bongo Flavor in East n Central Africa #Alikiba ambapo hata Diamond mwenyewe na wasanii kama Ommy Dimpoz,Queen Darlene ni zao la juhud za KingKiba kuinua vipaji.

Back to topic:
Ujio wa upcoming Artist Hamonize ambaye yupo chin ya udhamin wa Diamond, umetikisa na kuwa gumzo kwenye social networks hasa insta.

Ewe mwanaJf yapi maoni yako kuhusu hiki kipaji kipya?
 
Wakuu kwanza nimpongeze Mondy baba Tiffah kwa jitihada zake za kuinua vipaji vichanga, nafurah kuona anaendeleza kazi iliyoasisiwa na King of Bongo Flavor in East n Central Africa #Alikiba ambapo hata Diamond mwenyewe na wasanii kama Ommy Dimpoz,Queen Darlene ni zao la juhud za KingKiba kuinua vipaji.

Back to topic:
Ujio wa upcoming Artist Hamonize ambaye yupo chin ya udhamin wa Diamond, umetikisa na kuwa gumzo kwenye social networks hasa insta.

Ewe mwanaJF yapi maoni yako kuhusu hiki kipaji kipya?

Hamna kitu palee
Cyo msanii bali ni gym trainer wa yule bibi kikongwe wake na extended family yake mzima so ameamua tu ku populisha ila hajui hata kuimba bora angekomaa na nuhu mziwanda and like wise
 
Duh! Mkuu
 
Duh! Mkuu

Ukweli ndo huo yule cyo msanii nyimbo zenyewe za ki underground ambazobwatotobwa temeke kbao wanaimba hvyo

Alafu cjui ana undugu nabyule Enock wa Yamoto band maana naona spicie sile zile za watu wa kigoma sura zisizoeleweka ashakumu si matusi
 
Harmonize anatokea kasulu,kigoma aiseee hahahahahaha
 
mi nimemuelewa.anajitahidi.wimbo uko poa..sema ni copy ya diamond..
 
Mnampenda sana Diamond bila yeye kumuongelea hamna furaha nice one.

Na kusema Kiba kamwonyesha njia Diamond mbona wakati anawika hakumtoa Tandale akpaisha usiongeze chumvi kila mtu na kazi yake na mafanikio.

Kiba hajachangia juhudi za Diamond na ni furaha Diamond hakumfata alivyo angekuwa amerudi kuuza mitumba.
 
Kama hujui wala huelewi chochote kuhusu mziki na kuhusu how Alikiba kainfluence vipi mziki wa Diamond japo si kwa kumpa fedha basi naomba utilie hivyo hivyo uendelee kujifunza kwa wengine.

Hii theme ya hii topic inahusu msanii mpya hamonize, hayo mengine ni vionjo tu.
 
Ukweli ndo huo yule cyo msanii nyimbo zenyewe za ki underground ambazobwatotobwa temeke kbao wanaimba hvyo

Alafu cjui ana undugu nabyule Enock wa Yamoto band maana naona spicie sile zile za watu wa kigoma sura zisizoeleweka ashakumu si matusi

Mkuu lakin kijana anajitahid mimi nina nyimbo zake 2 ikiwemo na hii mpya inatoa moyo kuwa after 2 years ahead tutakuja kuongea mengine.
 
Dogo kajitahidi sana,na ni mwanzo mzuri ila nikiisikiliza kwa makini hii nyimbo yake ya Aiyola,naona kuna effects za Diamond na Y-Tony wa masebene!
 
Hamna kitu palee
Cyo msanii bali ni gym trainer wa yule bibi kikongwe wake na extended family yake mzima so ameamua tu ku populisha ila hajui hata kuimba bora angekomaa na nuhu mziwanda and like wise

Umeniacha hoiii.
 
Dogo anajua sana tena sana atafika mbali kama alivyo boss wake,hiyo ya DIAMOND alishawahi kusaidiwa na huyo nani sijui najua umefanya ile ya kawaida yako ya kutia chumvi ktk chai.
 
Mkuu kigoma kuna vipaji sana si unaona Alikiba Diamond ommy dimpoz linex etc , so ni kawaida tu mi naona.

Ngoja nikwambie hivi Ali kiba, Diamond, Ommy Dimpoz na wote wale unaowasikia kua wanatoka kigoma, wanatoka kigoma mjini, Linex pekee anatoka kasulu, jiografia ya kigoma nadhani haufahamu, kutoka kasulu mpaka kigoma ni masaa 2.30 ni distance ya kutoka dar mpaka moro, kigoma haipo kama dar ambapo unazikata wilaya zote muda huo huo, kwaio akitoka huyu msanii watakua wasanii wawili ndo walitoka kasuli, kibondo,kakonko, uvinza, buhigwe huko hakuna representative ya wasanii wote unao wajua wanatoka kigoma mjini...
 
Back
Top Bottom