AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Wakuu kwanza nimpongeze Mondy baba Tiffah kwa jitihada zake za kuinua vipaji vichanga, nafurah kuona anaendeleza kazi iliyoasisiwa na King of Bongo Flavor in East n Central Africa #Alikiba ambapo hata Diamond mwenyewe na wasanii kama Ommy Dimpoz,Queen Darlene ni zao la juhud za KingKiba kuinua vipaji.
Back to topic:
Ujio wa upcoming Artist Hamonize ambaye yupo chin ya udhamin wa Diamond, umetikisa na kuwa gumzo kwenye social networks hasa insta.
Ewe mwanaJF yapi maoni yako kuhusu hiki kipaji kipya?
Hamna kitu palee
Cyo msanii bali ni gym trainer wa yule bibi kikongwe wake na extended family yake mzima so ameamua tu ku populisha ila hajui hata kuimba bora angekomaa na nuhu mziwanda and like wise
Duh! Mkuu
Mnampenda sana Diamond bila yeye kumuongelea hamna furaha nice one.
Na kusema Kiba kamwonyesha njia Diamond mbona wakati anawika hakumtoa Tandale akpaisha usiongeze chumvi kila mtu na kazi yake na mafanikio.
Kiba hajachangia juhudi za Diamond na ni furaha Diamond hakumfata alivyo angekuwa amerudi kuuza mitumba.
Harmonize anatokea kasulu,kigoma aiseee hahahahahaha
Ukweli ndo huo yule cyo msanii nyimbo zenyewe za ki underground ambazobwatotobwa temeke kbao wanaimba hvyo
Alafu cjui ana undugu nabyule Enock wa Yamoto band maana naona spicie sile zile za watu wa kigoma sura zisizoeleweka ashakumu si matusi
Mmeulizwa matusi? Mbona mtu zinakosa busara humu
mi nimemuelewa.anajitahidi.wimbo uko poa..sema ni copy ya diamond..
Hamna kitu palee
Cyo msanii bali ni gym trainer wa yule bibi kikongwe wake na extended family yake mzima so ameamua tu ku populisha ila hajui hata kuimba bora angekomaa na nuhu mziwanda and like wise
yeah.....Ila mwanzo ni mzuri mkuu
Mkuu kigoma kuna vipaji sana si unaona Alikiba Diamond ommy dimpoz linex etc , so ni kawaida tu mi naona.