Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa wallah thanks Mkuu u made my day nimecheka mpaka basi,ivi ni sura gani zisizoeleweka yailahi?Ukweli ndo huo yule cyo msanii nyimbo zenyewe za ki underground ambazobwatotobwa temeke kbao wanaimba hvyo
Alafu cjui ana undugu nabyule Enock wa Yamoto band maana naona spicie sile zile za watu wa kigoma sura zisizoeleweka ashakumu si matusi
Ngoja nikwambie hivi Ali kiba, Diamond, Ommy Dimpoz na wote wale unaowasikia kua wanatoka kigoma, wanatoka kigoma mjini, Linex pekee anatoka kasulu, jiografia ya kigoma nadhani haufahamu, kutoka kasulu mpaka kigoma ni masaa 2.30 ni distance ya kutoka dar mpaka moro, kigoma haipo kama dar ambapo unazikata wilaya zote muda huo huo, kwaio akitoka huyu msanii watakua wasanii wawili ndo walitoka kasuli, kibondo,kakonko, uvinza, buhigwe huko hakuna representative ya wasanii wote unao wajua wanatoka kigoma mjini...
Mkuu masahihisho kidogo, Kgm to ksl ni km 90 alafu huyo dogo sio yule wa kasulu unaemjua majina yamefanana tu
Mnampenda sana Diamond bila yeye kumuongelea hamna furaha nice one.
Na kusema Kiba kamwonyesha njia Diamond mbona wakati anawika hakumtoa Tandale akpaisha usiongeze chumvi kila mtu na kazi yake na mafanikio.
Kiba hajachangia juhudi za Diamond na ni furaha Diamond hakumfata alivyo angekuwa amerudi kuuza mitumba.[/QUOTE
don panic just relax
Hii ilikuwa ni CHUKI dhahiriHamna kitu palee
Cyo msanii bali ni gym trainer wa yule bibi kikongwe wake na extended family yake mzima so ameamua tu ku populisha ila hajui hata kuimba bora angekomaa na nuhu mziwanda and like wise
Tupe mrejeshoUkweli ndo huo yule cyo msanii nyimbo zenyewe za ki underground ambazobwatotobwa temeke kbao wanaimba hvyo
Alafu cjui ana undugu nabyule Enock wa Yamoto band maana naona spicie sile zile za watu wa kigoma sura zisizoeleweka ashakumu si matusi
MrejeshoHarmonize ndo nani tena,huu mziki kila nyumba ina msanii
kilaza uyo nuhu yuko wapi na harmonize unamuonaj sasa? mwisho wa roho mbaya ni aibu ..Hamna kitu palee
Cyo msanii bali ni gym trainer wa yule bibi kikongwe wake na extended family yake mzima so ameamua tu ku populisha ila hajui hata kuimba bora angekomaa na nuhu mziwanda and like wise
dua yako Mungu kaikubaliHarmoniza ni mwandishi mzuri,katunga vizuri sana huu wimbo.ana style nzuri na MUNGU akitujalia pumzi tutaona mengi mazuri kwake
wale mashetani wa bad wishez hawana mirejeshohaya tupeni mrejesho?