Unazungumzia vipi ujio wa upcoming artist Harmonize kutoka Wasafi Label?

Unazungumzia vipi ujio wa upcoming artist Harmonize kutoka Wasafi Label?

Kelele bhabha Kelele, bubu wanguuuu kufika geto Kelele bhabha Kelele
 
Ukweli ndo huo yule cyo msanii nyimbo zenyewe za ki underground ambazobwatotobwa temeke kbao wanaimba hvyo

Alafu cjui ana undugu nabyule Enock wa Yamoto band maana naona spicie sile zile za watu wa kigoma sura zisizoeleweka ashakumu si matusi
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa wallah thanks Mkuu u made my day nimecheka mpaka basi,ivi ni sura gani zisizoeleweka yailahi?
 
Jamaaa anajua tena xanaa...mm nampa hongera na azid kulixoma game linakaaje ili aweze kupambana dhaid....
 
Ngoja nikwambie hivi Ali kiba, Diamond, Ommy Dimpoz na wote wale unaowasikia kua wanatoka kigoma, wanatoka kigoma mjini, Linex pekee anatoka kasulu, jiografia ya kigoma nadhani haufahamu, kutoka kasulu mpaka kigoma ni masaa 2.30 ni distance ya kutoka dar mpaka moro, kigoma haipo kama dar ambapo unazikata wilaya zote muda huo huo, kwaio akitoka huyu msanii watakua wasanii wawili ndo walitoka kasuli, kibondo,kakonko, uvinza, buhigwe huko hakuna representative ya wasanii wote unao wajua wanatoka kigoma mjini...

Mkuu masahihisho kidogo, Kgm to ksl ni km 90 alafu huyo dogo sio yule wa kasulu unaemjua majina yamefanana tu
 
Mkuu masahihisho kidogo, Kgm to ksl ni km 90 alafu huyo dogo sio yule wa kasulu unaemjua majina yamefanana tu

Kigoma to Kasulu ni 90km lakini inakuchukua masaa hayo niliyoyataja kufika, anhaaa basi nikajua ni yule wa kasulu naemfahamu mimi...
 
Mnampenda sana Diamond bila yeye kumuongelea hamna furaha nice one.

Na kusema Kiba kamwonyesha njia Diamond mbona wakati anawika hakumtoa Tandale akpaisha usiongeze chumvi kila mtu na kazi yake na mafanikio.

Kiba hajachangia juhudi za Diamond na ni furaha Diamond hakumfata alivyo angekuwa amerudi kuuza mitumba.[/QUOTE

don panic just relax
 
Wimbo mzuri sana ameanza vyema! Anaweza
 
images (1).jpeg
Siku hizi kawa kama defao
 
Hamna kitu palee
Cyo msanii bali ni gym trainer wa yule bibi kikongwe wake na extended family yake mzima so ameamua tu ku populisha ila hajui hata kuimba bora angekomaa na nuhu mziwanda and like wise
Hii ilikuwa ni CHUKI dhahiri
 
Ukweli ndo huo yule cyo msanii nyimbo zenyewe za ki underground ambazobwatotobwa temeke kbao wanaimba hvyo

Alafu cjui ana undugu nabyule Enock wa Yamoto band maana naona spicie sile zile za watu wa kigoma sura zisizoeleweka ashakumu si matusi
Tupe mrejesho
 
Hamna kitu palee
Cyo msanii bali ni gym trainer wa yule bibi kikongwe wake na extended family yake mzima so ameamua tu ku populisha ila hajui hata kuimba bora angekomaa na nuhu mziwanda and like wise
kilaza uyo nuhu yuko wapi na harmonize unamuonaj sasa? mwisho wa roho mbaya ni aibu ..
 
Back
Top Bottom