Unazungumziaje hii fasheni ya Kim Jong-un, umeona upanga wa nguo yake?

Unazungumziaje hii fasheni ya Kim Jong-un, umeona upanga wa nguo yake?

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Mtazame Rais wa Korea, Kim Jong-un katika majukumu yake ya kawaida, wadau tuijadili hii fasheni ya nguo zake alizovaa.

FMb99wRXMAojCEe.jpg
 
Uongo wa magharibi mara kakata moto, mara anaumwa hoi kumbe mwamba yuko imara
 
Sulupwete la kijamaa Hilo...hapo mkanda kafungia tumboni Tena.
 
Back
Top Bottom