John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Ukute wanamabusha babu mpira wanguAnapendeza sana.. upanga safi kabisa!
naona ni aina ya mavazi waliyochagua si unaona na hao wengine wamevaa
π π πAnaweza itumia kama parachut pia π€¨π€
Fundi wake ni miongoni mwa binadamu jasiri katika uso wa DuniaMtazame Rais wa Korea, Kim Jong-un katika majukumu yake ya kawaida, wadau tuijadili hii fasheni ya nguo zake alizovaa.
Halafu suruali zao zinagusa hadi kwenye mchanga/udongo.Mtazame Rais wa Korea, Kim Jong-un katika majukumu yake ya kawaida, wadau tuijadili hii fasheni ya nguo zake alizovaa.