Unazungumziaje usajili wa Antony pale Man Utd baada ya mechi kadhaa sasa

Hapo hamna kitu bora dogo wa Argentina Gearnacho.
 
Last time nakumbuka aliwafunga Asenali game yake ya kwanza tu, nikajua jamaa atakuwa noma, kumbe ulikuwa upepo tu..
 
Ile game ya Arsenal ndo ilimfanya aaminike ila kiuwezo yuko chini sana ,utoto mwingi.
 
Anapenda kucheza na jukwaa na kasema hawez kuacha maana hiyo staili ndio imemfikisha hapo alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…