Unazungumziaje usajili wa Antony pale Man Utd baada ya mechi kadhaa sasa

Unazungumziaje usajili wa Antony pale Man Utd baada ya mechi kadhaa sasa

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Jamaa ni kama amenunuliwa pesa nyingi na ameshindwa kuonyesha kwanini walimnunua kwa pesaa nyingi. Kwakifupi ni kama wamepigwa.
63AD803F-094E-402F-82DA-42CE6E01D612.jpeg
 
Hapo hamna kitu bora dogo wa Argentina Gearnacho.
 
Last time nakumbuka aliwafunga Asenali game yake ya kwanza tu, nikajua jamaa atakuwa noma, kumbe ulikuwa upepo tu..
 
Ile game ya Arsenal ndo ilimfanya aaminike ila kiuwezo yuko chini sana ,utoto mwingi.
 
Anapenda kucheza na jukwaa na kasema hawez kuacha maana hiyo staili ndio imemfikisha hapo alipo
 
Back
Top Bottom