Unbeaten run continues

Unbeaten run continues

Unbeaten inayoongelewa ya Yanga ni ya ligi kuu..maana kimataifa walishapasuka hata Kwa Rivers ya Nigeria Ila kwenye Ligi mara ya mwisho walipoyeza Kwa Azam gori 1 la prince dube
Ligi ya ndani ni rahisi zaidi jiesiemu kutembeza bahasha ila kimataifa ni ngumu kugawa bahasha za kaki.
ndo maana kimataifa wanapasuka mwanzo mwisho.
 
Yaani we jamaa me nakushangaa sana! Mashabiki wooote wa msimbazi wako so sad kukosa ushindi mech ya leo we unasema wanashangilia, hv una shida gani ww!!!??
Shorts on target YANGA 6 - 2 MAKOLOKOLO FC, afu bado tu unajitekenya ukicheka mwenyewe kuwa MAKOLO mnasikitika, hivi kwanini MBUMBUMBU huwa hajifichi kujulikana hata siku 1 tu [emoji848][emoji4]
 
Back
Top Bottom