Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sudan aligongwa kimoja ila kwa vile unajifunza kiingereza,tuseme unbeaten#UnBeaten bado inaendelea..
Tupo Bongo we KOLOWIZARD [emoji13]
Sudan ilikuwa ligi kuu ? sisi tunahesabia kwenye ligi ya ndaniSudan aligongwa kimoja ila kwa vile unajifunza kiingereza,tuseme unbeaten
Kwenye ligi ndugu
Unachangia mada ipi?Yanga imecheza mpira gani sasa!!???
Unbeaten run kwenye ligi. ShwainSudan aligongwa kimoja ila kwa vile unajifunza kiingereza,tuseme unbeaten
Ligi ya ndani ni rahisi zaidi jiesiemu kutembeza bahasha ila kimataifa ni ngumu kugawa bahasha za kaki.Unbeaten inayoongelewa ya Yanga ni ya ligi kuu..maana kimataifa walishapasuka hata Kwa Rivers ya Nigeria Ila kwenye Ligi mara ya mwisho walipoyeza Kwa Azam gori 1 la prince dube
Yaani we jamaa me nakushangaa sana! Mashabiki wooote wa msimbazi wako so sad kukosa ushindi mech ya leo we unasema wanashangilia, hv una shida gani ww!!!??Simba lazima washangilie hii sare.
Tushanglie sare tenaSimba lazima washangilie hii sare.
Hizo bahasha zinaenda hadi Simba?Ligi ya ndani ni rahisi zaidi jiesiemu kutembeza bahasha ila kimataifa ni ngumu kugawa bahasha za kaki.
ndo maana kimataifa wanapasuka mwanzo mwisho.
Shorts on target YANGA 6 - 2 MAKOLOKOLO FC, afu bado tu unajitekenya ukicheka mwenyewe kuwa MAKOLO mnasikitika, hivi kwanini MBUMBUMBU huwa hajifichi kujulikana hata siku 1 tu [emoji848][emoji4]Yaani we jamaa me nakushangaa sana! Mashabiki wooote wa msimbazi wako so sad kukosa ushindi mech ya leo we unasema wanashangilia, hv una shida gani ww!!!??