Unbeaten ya yanga: Ligi dhaifu ama timu imekuwa bora zaidi?

Shirikisho imepitaje kwenye tundu la sindano ilhali mpinzani kapigiwa pira jingi nyumba I kwake!?..yanga shirikisho atafika mbali,hachagui uwanja,anaupiga mwingi popote,home & away
 
Shirikisho imepitaje kwenye tundu la sindano ilhali mpinzani kapigiwa pira jingi nyumba I kwake!?..yanga shirikisho atafika mbali,hachagui uwanja,anaupiga mwingi popote,home & away
Yanga havuki makundi...akivuka nakupa code za moyo wangu wa betri uniue
 
Ligi yetu dhaifu kwa misingi gani mtoa mada?... Ligi yetu sahiv ni bora.. huo udhaifu sijui unataka kulinganisha na wakati gani..

Labda uniambie huo mwaka ambao ligi ilikuwa ni bora kuliko nyakati hizi?
 
Hizi ndio akili zenu kwanini msikubali ubora wa yanga mmebaki kupiga ramli tu kama waganga wa kienyeji, Simba imefuzu makundi baada ya kukutana na vibonde, kiufupi uwezi kulinganisha de agosto ya angola na Al hilal ya sudan kwenye ubora ni mbingu na ardhi sasa ngoja tusubilie hatua ya makundi ndio utajua timu yako ni imara au ni dhaifu pumba na mchele vitajitenga
 
Poa, nawewe subiria makundi ya loosers cup tuone kama utatoboa
 
Itakua unazungumzia Simba..yanga ni timu Bora Sana kwa sasa
Bora kwnye mipango nje ya uwanja.

Na sio timu ya kiushindani,,,,zaidi ya mipango .

Nakuhakikishia siku mipango iwekwe pembeni na timu zicheze bila mipango ,,

Utaona kama Kuna unbeaten zozote.
 
Bora kwnye mipango nje ya uwanja.

Na sio timu ya kiushindani,,,,zaidi ya mipango .

Nakuhakikishia siku mipango iwekwe pembeni na timu zicheze bila mipango ,,

Utaona kama Kuna unbeaten zozote.
Africaine na Simba nao walipigwa mipango!?...kubali ukweli
 
Yanga kwa sasa ni bora na kama ni udhaifu wa team nyingine basi tuseme udhaifu kwenye uwekezaji halisi wa mpira Uto kupitia GSM wamejipata sana hizi issue za kusema bahasha nachelewa kuzikubali sababu pia Yanga walkua wakijifariji miaka Ile simba ya moto (ooh wanaroga ooh bahasha) Utopwinyo saivi wamejipata tu
 
Hapa huwezi kupata jibu sahihi utaambulia vita vya Utopolo na Makolo...Vinyesi na Ngada....Vyura na mikia...Gongowazi na Nyau mwisho kabisa Mbumbu na Wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…