inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Shirikisho imepitaje kwenye tundu la sindano ilhali mpinzani kapigiwa pira jingi nyumba I kwake!?..yanga shirikisho atafika mbali,hachagui uwanja,anaupiga mwingi popote,home & awaySasa kipindi kile simba si ilifika mpaka robo fainali klabu bingwa?
Utata sasaivi upo kwasababu timu unbeaten imeshindwa hata kuvuka makundi klabu bingwa na huko shirikisho imepita kwenye tundu la sindano, tena dalili zinaonesha makundi itaenda kuchakazwa mbaya mbovu