Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kumekuwa na tambo nyingi kuwa yanga wamefikisha siku 10,000 hawajafungwa, kwamba wana timu ya kupambana na timu yoyote ile duniani, wao wanadai wana uwezo hasa, mfano mzuri ni juzi wametoa adhabu kali sana kwa wanubi wa Sudan kusini Zalan kwa aggregates ya mabao 9-0.
Sasa wameitoa Sudan Kusini wamepewa Sudan Kaskazini, waarabu wa Sudan kaskazini. Mama yangu.
Iwe isiwe, narudia iwe isiwe, narudia tena iwe isiwe, Yanga lazima afie Sudan akapambane kombe la Shirikisho huko.
Ibenge hajawahi kutolewa hatua za awali, Ibenge anajua udhaifu wa Bangala, anamjua Juma Shaaban, anamjua Mayele, atashindwaje kwenda group stage.
Yanga akivuka kwa Al Hilal naenda kupiga deki jangwani.