Uncle ameozwa kwa mdada wa kazi: Anataka nimshauri

Uncle wako anaomba ushauri kwako!!

Hi ni katika moja ya ajabu za dunia.
 
:eyebrows: da ni noma ila cha kufanya anko ni bora tu aridhie kuishi na huyo bek 3, na inabidi aongee na wazazi wake kuhusu hii ishu,
 
Mwambie uncle kwenye lile boom lake apange room moja andelee kuishi na mke wake.Mbona chuo kikuu wadada wanaolewa na wanaendela na masomo yao bila shida?Pia wakaka wanaweza kuoa na wakendelea na masomo yao kama kawaida...Mpe pole pia kwa kuingia mtego kwa KCC...
 
Wamemkomesha, na bado mziki ndio unaanza. Subutu yake amfukuze! Sizitaki mbichi hizi? Wakati anazirukia hakuziona mbichi. Adabu hana wala heshima. Ghrrrrrrrr!

Sijui wazazi wa huyo mdada wako wapi hadi binti yao aonewe hivyo???
Aisee mimi wangenikoma.........this is more than unyanyasaji, kisa alikuwa house girl ndo amfukuze??
House girl ni kazi tuu ati!!!i
 
Mwambie uncle wako asilete ubabe, wakacheki hivo vipimo then wafanye peaceful negotiation kati ya familia yenu na ya binti( kama hataki kumuoa huyo mdada)!!!
La sivo itakula kwake.....!!!
 
A a a a anko sasa utamtafuna fresh c umekabiziwa mtoto
 
Mleta mada siyo wewe mhusika kweli? Ukome kupenda vya bure umepewa vya bure
 
ankoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo, mwaka mpya na mambo mapya
nacheka tu
 
Naye Uncle wako vp? Mi nilifikiri wamemkamata akiwa yuko juu ya kiuno cha Housegirl! Angekataa bwana! watu tunatia mpaka mimba na tunakataa itakuwa yeye! Labda anamtaka huyo demu, AMTIMUE tu, nduguze wakiuliza aseme amempa talaka.
 
Sifa nyingine ni za kijinga kweli.
 
Sifa nyingine ni za kijinga kweli.
Ukweli unabaki palepale, unapofanya mapenzi na mtu siyo kwamba mnataka kuoana, kukubali kwake kutaharibu future yao wote wawili ni bora AMTIMUE
 
Huo ndio mshahara zambi, alikuwa anataka wenzie wamuhudumie yeye ale tu bila jasho. Shida yake si ilikuwa uroda na sasa anaupata 24/7 tabu ipo wapi? Namshauri aandae mpango wa uzazi wa mpango na huyo mke wa promotion aliyempata.
 
Mpe hongera yake kumpata mke kiulaini hivyo.
 
Ana bahat kweli, wenzake huchukuwa miaka hadi ndowa kukamilika. Kwake jambo la wiki tu. Muhongere!
 
Lol! Kapatikanaje?! What was he thinking?!! :thinking: Wacha avune alichopanda maana alijiona kidume wa kujiachia bila kujali uwepo wa mdada mwingine wa kazi ndani ya nyumba hio!!
 
Mwambie anko wangu I'm very sorry huwa nawasaidia wengi kwenye mambo ya ushauri lakini katika hili na ameshatia saini mkataba basi tena "they will live happilly ever after"
 
Ndoa ina taratibu zake, kama ni Mwislamu kuna (1) Mahari (2) Ruhusa ya Mzazi/Mlezi (3) Kukubali kwa Muolewaji. hivyo ni vigezo vya msingi!. Sasa Je Wazazi wa huyo binti waliombwa Ridhaa na muoaji?, je walikubali baada ya kuombwa?, Je Muolewaji aliomba Mahari gani?, Je Muoaji aliitoa hiyo mahari?.

KAMA HII NDOA IMELAZIMISHWA NA JAMAA HAJARIDHIKA NAYE BINTI, BASI JAMAA AKAFUNGUE KESI MAHAKAMANI KUIPINGA!

YAANI KATIKA VITU AMBAVYO HUWEZI KUVILAZIMISHA NI NDOA!! KWA SABABU KAMA UPENDO HAUTAKUJA, IT WILL NEVER WORK!!
 
Naye Uncle wako vp? Mi nilifikiri wamemkamata akiwa yuko juu ya kiuno cha Housegirl! Angekataa bwana! watu tunatia mpaka mimba na tunakataa itakuwa yeye! Labda anamtaka huyo demu, AMTIMUE tu, nduguze wakiuliza aseme amempa talaka.

Watu wengine huwa mnatumia mikia yenu kufikiri, pumbafu na nusu
 
Ukweli unabaki palepale, unapofanya mapenzi na mtu siyo kwamba mnataka kuoana, kukubali kwake kutaharibu future yao wote wawili ni bora AMTIMUE
Kama huna mpango nae unampa mimba ili iweje? Alafu huoni aibu kutamba kwamba mnakimbia. . . kweli WANAUME wanahesabika kwenye jamii yetu na wewe sio mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…