Uncle ameozwa kwa mdada wa kazi: Anataka nimshauri

Uncle ameozwa kwa mdada wa kazi: Anataka nimshauri

Kama huna mpango nae unampa mimba ili iweje? Alafu huoni aibu kutamba kwamba mnakimbia. . . kweli WANAUME wanahesabika kwenye jamii yetu na wewe sio mmoja wao.
Sasa kwa nini na yeye alikubali kupewa mimba?
 
Mleta mada siyo wewe mhusika kweli? Ukome kupenda vya bure umepewa vya bure

Chupaku

Wewe vipi? Mimi ni mtoto wa kike, na hii issue imetokea na uncle yuko kikaangoni. Ila uncle hadi jana alikuwa amepania kumfukuza mdada wa watu ili arudi kwao mikoani kwa wazazi wake ambao ni wakulima kama walivyo wazazi wetu tulio wengi. Inasikitisha sanaaaaaaa!
 
Aaache zake kitu alikua anarukia tu alee mzigo na akileta mchezo chuo hana na maisha yatmwendea kombo
 
Back
Top Bottom