Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Sasa kwa nini na yeye alikubali kupewa mimba?Kama huna mpango nae unampa mimba ili iweje? Alafu huoni aibu kutamba kwamba mnakimbia. . . kweli WANAUME wanahesabika kwenye jamii yetu na wewe sio mmoja wao.