Uncle Jathtini

Uncle Jathtini

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Posts
3,036
Reaction score
319
Kulikuwa na familia bora ya mtu na mkewe pamoja na mtoto wao kelvin,siku moja familia hii ilitembelewa na uncle justine ambaye ni kaka wa mama kelvin.
Uncle justine alikuwa anapenda sanaaaaaaaa kunywa pombe,yani ni mnywaji haswaaaaaaaaaa,na mara nyingi alikuwa anatoka mida ya jioni kwenda bar karibu na nyumba ya shemeji yake(baba kelvin)akiwa kaongozana na mpwa wake kelvin.
Wakiwa njiani wanarudi alwaz Uncle jathtini anamwambia Kelvin nisubiri hapo,and uncle anajisogeza pembeni na kujisaidia haja ndogo bila kujua Kelvin anamwangalia uncle kwa ukaribu sana.
Siku moja uncle juthtin na Kelvin walichelewa kurudi Nyumbani wakakuta baba na mama kelvin wako mezani wanakula,Baba akamwambia Kelvin"Kelvin vipi mbona huli?"Kelvin akajibu"Baba uncle Juthtin kaninunulia chips"Kelvin akaendelea "Baba Nikwambie kitu?"Baba na mama wote wakadakia,eeeeeeeeeee?"Yani baba mimi nilithani ww ndo bingwa kumbe wapi !hujaona ya uncle juthtini"
Baba kelvin:- "ya uncle Juthtini nini?
Kelvin:- "Uncle Juthtin ana thinga la la la la "
Bbaba Kelvin:- "zinga la nini?"
Kelvin:- "Uncle Juthtin anathinga la Mkojoleooooooooooooooooo"
Baba,Mama na Uncle justine Kimnyaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom