Uncle wa IVAN( baba) aomba msamaha kwa Zari

mimi nmechammbwa mpaka sina hamu[emoji23]
nani kakuchamba?

Misiba imebadilika wanawake tubadilike piga picha mmeo amelala kwenye jeneza umejirembaaa wanja umekolea balaa lipstic ndo usiseme utalia lini? Si machozi yataitoa vipodozi??
 
Labda hujaziona bado. Kuna video inasambaa Sana IG ikimuonyesha akilia Huku akishikiliwa na watu na kumuegemea mwanae mkubwa
 
Pamoja na bonge la smile.
 
Labda hujaziona bado. Kuna video inasambaa Sana IG ikimuonyesha akilia Huku akishikiliwa na watu na kumuegemea mwanae mkubwa
aiiiiii weka hapa hiyo video? Zote nimeziona anafutafuta tumachozi na kitamba aiiiiii
 
huyo ndo mme alomzalia watoto haijalishi yaliyotokea? Hivi anashindwa kuvuta hisia yale mazuri waloyapitia
 
Kwani alikuwa mume wake????
 
account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho
hata kama account inasoma "not to that extent" kajiremba balaa
 
zari ni very strong kwakweli..amedhalilishwa vya kutosha kisa mali....anasemwa ye ndo anamezea mate urithi..kumbe wapo wengi wanafki wasiochoka kunyooshea vidole wenzao
huyo mjomba hana haya wala hiyana kuomba eti watoto wakapimwe DNA kisa mali za marehemu!??
haoni kama anamdhalilisha zari mbele ya watu?
hivi ivan angekuwa hai angeweza kuongea hili?
miaka yote hiyo kama mjomba anamuona kabisa ivan anazaa watoto akiwa kwenye ndoa na zari..ivan yupo very proud na wanae na anakuwa responsible father..leo unasisitiza dna eti tujue if they are ivans blood kids or not...na majibu mkienda kufanya rafu zenu mkaja kuonyesha sio watoto wa ivan nini kinafuatia?
mroho wa mali ni ndugu wa ivan au zari??
acheni unafki
 
Mipaka shume hyo.mtu hata hajazikwa anaanza kubagua watu wa kuridhi.inakera sana.
Kuna mijitu mimacho yao ipo,kwenye mali za marehemu tu mpaka wanatia aibu,
sasa watu wataweka macho kwa marehemu ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…