chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Ndo misiba ya watu waloendelea hapo kenya tu cku ya mazishi hua mwenye uwezo wa kujiremba na kwenda saloon anaenda yaani hyo cku ni full kupendezahata kama account inasoma "not to that extent" kajiremba balaa