Uncle wa IVAN( baba) aomba msamaha kwa Zari

Uncle wa IVAN( baba) aomba msamaha kwa Zari

hata kama account inasoma "not to that extent" kajiremba balaa
Ndo misiba ya watu waloendelea hapo kenya tu cku ya mazishi hua mwenye uwezo wa kujiremba na kwenda saloon anaenda yaani hyo cku ni full kupendeza
 
Ila huyo jomba anastahili pongezi kwa kuona makosa yake na kukubali kujishusha mbele ya kadamnasi na kusema alikosea. Wengine wenye majivuno ya hali ya juu wasingethubutu kuomba samahani hadharani, au angefanya hivyo pembeni au kufa na tai yake shingoni pamoja na kujua alichokifanya si sawa sawa.

zari ni very strong kwakweli..amedhalilishwa vya kutosha kisa mali....anasemwa ye ndo anamezea mate urithi..kumbe wapo wengi wanafki wasiochoka kunyooshea vidole wenzao
huyo mjomba hana haya wala hiyana kuomba eti watoto wakapimwe DNA kisa mali za marehemu!??
haoni kama anamdhalilisha zari mbele ya watu?
hivi ivan angekuwa hai angeweza kuongea hili?
miaka yote hiyo kama mjomba anamuona kabisa ivan anazaa watoto akiwa kwenye ndoa na zari..ivan yupo very proud na wanae na anakuwa responsible father..leo unasisitiza dna eti tujue if they are ivans blood kids or not...na majibu mkienda kufanya rafu zenu mkaja kuonyesha sio watoto wa ivan nini kinafuatia?
mroho wa mali ni ndugu wa ivan au zari??
acheni unafki
 
Siku akifa Mond ndio itakuwa shughuli maana ataachiwa mali zote ndio hawa wazaramo wa Kigoma watakesha na kulala Instagram
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji15]
 
Nadhani uncle alijilidhisha Mali zote zipo kwa jina la watoto. ......akaamua kusanda.
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.
Sio Mume ni Mtalaka
 
Masikin siku zote ndio hulia zaid....hasa wew inaonekana maskin sana ndo maan hata nawazo yako yanakutuma kupiga ukunga
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.
Akilia sna ndo atafufuka?
 
Ulitegemea? Like seriously? Watu wengne mnachekesha, eti nilitegemea...yeye maisha yake yanakuhusu nini? Wewe endelea kutegemea, ukimaliza kutegemea vya zari you can then mind your business
 
Good Morning Great thinkers ....!! R.I.P Ivan Leo utaramba mchanga rasmi,Allah akupunguzie adhabu ya kabri
 
Mj
Wabongo bwana ni wabongo tu,esp wanawake hatupendani.
Zari ana akili sana,atalilia bedroom kwake akishaweka mambo sawa,siku zote mnaambiwa ikitokea mme katangulia na ana Mali kaacha,usikurupuke na yowe,Anza kutunza docs muhimu,card za bank na vingine muhimu fungia then ndio uanze kulia.
hapo amenifurahisha,ana watoto,watu ni wengi.lazima awachunge vizuri na awe strong.
hongera zari,lazima uwe makini na kuangalia Mali za watoto.
Mali siku zote ni ya watoto si ya ndugu.
Mjomba naye anataka urithi , yaani mwanamme mzima anataka mteremko
 
Back
Top Bottom