Kuna wengine vilio vyao vya unafiki Ile waonekane tu.nakumbuka kuna msiba mmoja nilienda na wenzangu.njia Nzima kabla ya msiba tulikuwa tunatia story vizuri na kucheka juu.hee Ile tunafika mwenzangu wacha aanze kujigalagaza na Julia kwa sauti. Na mfano mwengine ule msiba wa kanumba tuliona mengi.camera ikimsogelea mtu kulia kunazidi.mimi naamini ukifiwa unaumia tu ila kila mtu ana huzunika kwa namna yake anayoijua yeye. Sio wote wanaonyesha hadharani.