Uncle wa IVAN( baba) aomba msamaha kwa Zari

Uncle wa IVAN( baba) aomba msamaha kwa Zari

mtu mlishaachana unataka agalegale... kwanza waliaji sana wanakuaga wanaigiza..pale zari analia kwa sababu ya wanae....by the way kulia sana haimaanishi ndio unamachungu ndio maana kunawaliaji wa kukodisha
 
Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.

mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?

Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional

Apumzike ivan.
ukunga wa nini ? machozi sio kiwango cha huzuni huo ni unafiki tu.....
ni yeye ni wa kwanza kufa?
Mwacheni Zari anaelewa anachokifanya
Maisha yataendelea hata baada ya msiba!
 
Mimi binadamu siwaelewi hasa hawa wanawake wenzangu ni kwamba hawataki zari asimamie mali za wanawe????? Hivi ni kweli shangazi na mjomba anaweza simamia mali za watoto kwa uchungu kuliko mama yao????
Au tunajitia upofu wa kijinga tu, sijawahi ona mama akimdhulumu mwanae kitu lakini ndugu mh hapana.
 
Si ndio nashindwa,anashindwa kutafuta vyake anataka kupora watoto tena hadi anasema wafanyie DNA,sema kaomba msamaha.
After reports of Ivan Ssemwanga's dad mbu apologising, he has woken up this morning to say he has no reason to apologize to anyone. He still stands to what he said. Mbu he never wrote that speech.
 
After reports of Ivan Ssemwanga's dad mbu apologising, he has woken up this morning to say he has no reason to apologize to anyone. He still stands to what he said. Mbu he never wrote that speech.
Duh sad.but am sure hatafanikiwa zari Ni strong woman,na niko sure Ivan aliacha kila kitu kwa mwanasheria wake kuhusu Mali zake.
 
Kama ametambua hivyo ni sawa Kuomba radhi ni jambo la busara kwa Muungwana..

[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniKakaIvan[/HASHTAG]
 
kuna vitu lazima ukubaliane navyo tu hata upige tikitaka hawezi kurudi ni lazima azikwe,,, na wanaolia sana wanapoteza uchungu haraka .......hakuna mtu anayeumia kama yule anayekaaa kimya halii huwa anakaa na maumivu kwa mda mrefu sana
ntakwambia kitu sio hapa lakini
 
Uwii Mungu atusaidie jamani rip ivan[emoji47][emoji22][emoji22]
Hakika kila nafsi itaonja umati, ila tatizo ni kwa sisi tunaobakia naona wengi wenye tabia za ndugu wa mume humu wengi wanamsakama Zari as if amefanya dhambi kubwa sana kuachana na marehemu, kama Ivan siku yake ya kifo ilifika hata kama Angelikua na Zari angekufa tu maana imeandikwa kila binadamu ana siku yake ya kufikwa na umauti
 
Back
Top Bottom