Unconfirmed: Huko Uganda Ommy Dimpoz ajiita producer na songwriter wa Diamond Platinumz

Project ya wanjera yeye ommy used it kama kumdiss Diamond kwa kuachana na wema na kuwa yeye kapata nyota yake wena itamsaidia akaanza kuringa bila sababu when Diamond had no time yake kabisa wala ku follow what was going on na miziki kumbe ommy hakujua wema hana nyota ya kupaisha kama alivyozani kurudi kurudi kumake it kama nothing happened kashindwa. Na wanjera died too, angejua angetafuta another woman kumweka katika video yake
 
Yaani alitarajia makubwa sana kwa ile video ya wanjera coz of wema na zile stunts za mapicha walizokuwa wanazitengeneza insta, ila matokeo yake wimbo umefeli, umezidiwa hata na shikorobo ya shetta
 
Nakenyewe kanataka lifti ya bifu ili katoboe si unaona kalipata ujiko hadi kaling'oa hako kademu hapo, unadhani kumwandikia na kuwa producer wa DIAMOND ni jambo dogo

Huyo demu ni Amani wa Kenya naye alialikwa kwenye show
 
Back
Top Bottom