Mwanaume utavaaje suruali nyekundu?
Project ya wanjera yeye ommy used it kama kumdiss Diamond kwa kuachana na wema na kuwa yeye kapata nyota yake wena itamsaidia akaanza kuringa bila sababu when Diamond had no time yake kabisa wala ku follow what was going on na miziki kumbe ommy hakujua wema hana nyota ya kupaisha kama alivyozani kurudi kurudi kumake it kama nothing happened kashindwa. Na wanjera died too, angejua angetafuta another woman kumweka katika video yake
Nakenyewe kanataka lifti ya bifu ili katoboe si unaona kalipata ujiko hadi kaling'oa hako kademu hapo, unadhani kumwandikia na kuwa producer wa DIAMOND ni jambo dogo
ok sikajuagi hako ki-amani kumbe ndo hiki.Huyo demu ni Amani wa Kenya naye alialikwa kwenye show