Habari zenu wana JF. Kupita kwangu kwenye hii forum ya biashara na uchumi kumenipatia mimi muamko mkubwa wa kuanxa kufanya biashara pia, hivyo nawashukuru watu mbali mbali ambao wamekua wakiandika na kuchangia mambo makubwa humu ndani.
Kutokana na huu muamko, nimedhamilia kujikita kwenye ulimaji wa tikiti maji lakini sina mwanga mkubwa kuhusu hili zao kwa mfano:
1. Ni aina gani ya tikiti nzuri?
2. Kuanza inahitaji shilingi ngapi, ukijumlisha na mbegu na fertilisers na malipo ya wafanya kazi? (chukulia kwa ekari moja)
3. Je ukiwa unapanda ni nafasi gani unaacha shimo hadi shimo?
4. Je ekari moja inaweza kutoa matikiti kama mangapi takribani?
5. Faida (gross profit) inayoweza kupatikana kwenye ekari moja.
6. Gharama za uendeshaji wa shamba ni kama shillingi ngapi?
Ningependa nifahamishwe hivyo vitu
ASANTENI