Undani kuhusu tikiti maji

Undani kuhusu tikiti maji

magzee

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
62
Reaction score
7
Habari zenu wana JF. Kupita kwangu kwenye hii forum ya biashara na uchumi kumenipatia mimi muamko mkubwa wa kuanxa kufanya biashara pia, hivyo nawashukuru watu mbali mbali ambao wamekua wakiandika na kuchangia mambo makubwa humu ndani.

Kutokana na huu muamko, nimedhamilia kujikita kwenye ulimaji wa tikiti maji lakini sina mwanga mkubwa kuhusu hili zao kwa mfano:

1. Ni aina gani ya tikiti nzuri?
2. Kuanza inahitaji shilingi ngapi, ukijumlisha na mbegu na fertilisers na malipo ya wafanya kazi? (chukulia kwa ekari moja)
3. Je ukiwa unapanda ni nafasi gani unaacha shimo hadi shimo?
4. Je ekari moja inaweza kutoa matikiti kama mangapi takribani?
5. Faida (gross profit) inayoweza kupatikana kwenye ekari moja.
6. Gharama za uendeshaji wa shamba ni kama shillingi ngapi?

Ningependa nifahamishwe hivyo vitu
ASANTENI
 
Aina nzuri ya tikiti ni black melon ya royal sluis.ndyo yenye production kubwa..mengne watakuja wahusika watatoa yao
 
mbegu nzuri ni kampun ya royal sluis holand huwa ina mazao mengi.iwe black melon sababu yasoko.blackmelon inapendw zaid
 
Garama inategemea mahali ilipo shamba.sbb kuna garam yakukodi inatofoutian pili kuna aina gan ya umwagiliaji unayotumia
 
GEBA2013 shamba lipo tayari. ..na umwagiliaji nimeshapata suruisho...so cost nyinginezo ukitoa hizo
 
Last edited by a moderator:
Piga mahesabu yako lakini usisahau kufunga EFD
 
Mbolea utakuzia mara2.dawa unatakiwa upige mara kwa mara.zingatia sana dawa sumu na yaukungu.dawa usicheleweshe
 
Kulima unatumia nn? Kazi umemaliza.sbb kilichobaki kwako nimbolea nadawa ambayo garama zako hazid hata lakinanusu.
 
Nitatumia vibarua kwasababu nina ekari 7 tuu....au unaushauri gani kuhusu hii. GEBA2013
 
Last edited by a moderator:
Kulima mm cjui unatumia nn?trector au ngombe.kwhyo unaingza kwnye hyo garama hapo.ekamoja nitikit alf3 hd4.
 
Sintatumia trekta wala ng'ombe...nitatumia vibarua vya watu..kuna mtu alinishauri kwamba ekari chache nisitumie trekta GEBA2013
 
Last edited by a moderator:
Vibarua km wanamaliza kwa mda nipoa.ila ngombe au tractor ninzur zaid sbb ardh inalainishw vzuri.
 
Ok..na ulimaji kwa trekta ni shingi ngapi...kwa sehem mlandizi
 
Embu nicheki hapa 07523i7974.net iko slow sana leo
 
Poa ntakupigia kwenye saa mbili...asante kwa cooperation
 
Mm sioni km kuna kitu hapo.sbb kilichobaki kwako ni dawa nambolea ambayo garama yake nindogo kw eka.
 
Muhimu kwenye tikiti ni dawa na mbolea.ukicheza hapo unapata less production.
 
Habari zenu wana JF. Kupita kwangu kwenye hii forum ya biashara na uchumi kumenipatia mimi muamko mkubwa wa kuanxa kufanya biashara pia, hivyo nawashukuru watu mbali mbali ambao wamekua wakiandika na kuchangia mambo makubwa humu ndani.

Kutokana na huu muamko, nimedhamilia kujikita kwenye ulimaji wa tikiti maji lakini sina mwanga mkubwa kuhusu hili zao kwa mfano:

1. Ni aina gani ya tikiti nzuri?
2. Kuanza inahitaji shilingi ngapi, ukijumlisha na mbegu na fertilisers na malipo ya wafanya kazi? (chukulia kwa ekari moja)
3. Je ukiwa unapanda ni nafasi gani unaacha shimo hadi shimo?
4. Je ekari moja inaweza kutoa matikiti kama mangapi takribani?
5. Faida (gross profit) inayoweza kupatikana kwenye ekari moja.
6. Gharama za uendeshaji wa shamba ni kama shillingi ngapi?

Ningependa nifahamishwe hivyo vitu
ASANTENI
Nimejaribu kulima kama eka 2 lakini kama layman kwani sikufanya utafiti wa kina na nimelimia kilomita kama 300 magharibi ya Dar.
Ninachojua mpaka sasa ni kuwa kwanza ni lazima ujue timing ya high demand,la pili uwe na backup ya irrigation,tatu ni lazima utumie madawa kwa wingi (inashambuliwa mno na wadudu ktk stage tofauti) na la nne ujue kuitumia ardhi vizuri (Nimetengeneza kama majaruba na nikapanda.)
 
Asante kwa maoni yako mazuri kaka...umeongelea kutumia ardhi vizuri...unavyoongelea majaruba unamaanisha nini?

Na umeongelea pia ishu ya demand...je ni factors zipi zina determine demand? Na high demand hapa dar inakua ni lini...asante
 
Unatengenenza kama matuta ambayo panakuwa na uwazi katikati na mbegu unapanda katika kingo za hili tuta,yakianza kutambba yanaelekea katika uwazi wa katikati ya tuta.
Sina uhakika wa demand lkn wakulima wamekuwa wengi sana na hii imeshusha bei kwa kiwango kikubwa.
Kama upo Dar jaribu kuwauliza madalali wa hapo Kariakoo.
La muhimu ni kuwa inahitaji a very close supervision,ukichelewa kupiga dawa unaweza kupoteza mazao yote na yakianza kukomaa yakijeruhiwa na kitu yanaooza.
Hii ni perishable commodity you need to be extra careful!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom