Undani kuhusu tikiti maji

Undani kuhusu tikiti maji

Dawa nzuri ya ukungu ni ivory72wp na banco sumu yakuulia wadudu tumia profrecone
 
DAWA NZURI YA UKUNGU NI IVORY72WP NA BANCO SUMU YAKUULIA WADUDU TUMIA PROFRECONE.matumiz yake yameonyesha hapo utayaona
 
Asante sana bwana geba kwa kutoa ushauri na support tokea nimeweka hii thread
 
Masoko yatikiti hayasumbui yako wazi nayanalipa sna.wafanyabiashara huwa wanachukua wenyew shambani kwa mzgo mkubwa
 
Wanunuz wanaofuata shambani wananunua kwa bei ndogo sana,nimeshuhudia mtu akimuuzia mnunuzi kwa sh.500 bei ya jumla..cc GEBA2013
 
WAP HAPO?mm mwenyew nimeshawahi kupelek wanunuz toka dar hdi wangingombe njombe wakanunua kw 2000sh kubwa nandogo 500
 
ununuz wa tikiti huwa unagrade kubwa kati na ndogo..nakila grade ina bei yake.ninavyojua mm na nilivyowah kuuza
 
ni wami dakawa,..wanunuzi wa hapo huwa wanatoka Dodoma...ulikuwa mwezi wa ngapi hao wanunuz ulipowatoa dar na shamba ni sehem gan!?cc. GEBA2013
 
Ulikuwa mwezi wa4 mwaka jana mm nilikuwa km dalali.ni wangingombe njombe..wanunuz walitoka dar..we ivisha soko lipo.
 
ULIKUWA MWEZI WA4 MWAKA JANA MM NILIKUWA KM DALALI.NI WANGINGOMBE NJOMBE..WANUNUZ WALITOKA DAR..WE IVISHA SOKO LIPO nzur
 
Yaah nimeipenda hii biashara nimepata eneo ruvu maji yapo je naweza kulima mwezi ujao nitakutana na soko zuri?
 
soko la tikiti ni mda wote ipo..ruvu hapo vp kipindi hiki chamvua hakuna mafuriko
 
Hata mm natamani kulima ila cjui nikalime..natamani ruvu ila kuna mdau ameniambia ruvu kipindi hki kuna mafuriko
 
Back
Top Bottom