Undani wa Biashara ya Uber

Undani wa Biashara ya Uber

Mworombo01

Senior Member
Joined
Nov 9, 2016
Posts
113
Reaction score
82
Wadau habarini, naomba mwenye uelewa wa biashara ya UBER anisaidie mawili matatu ikiwa ni pamoja na uzuri na hasara zake.

Nataja kuwekeza sekta hiyo.

Natanguliza shukrani
 
Msome huyo mshkaji hapo chini alileta mrejesho wa hio biz.

 
Back
Top Bottom