Wakuu habari. Kama kichwa kinavyojieleza hapo naomba nilete experience yangu ya kuwa Uber/Taxify Driver kwa kutumia gari binafsi. Gari ni cc1500 Corolla, na niliifanya kama part-time job sio full time. Mara nyingi nilikuwa naendesha kuanzia Ijumaa to Jumapili, saa 2 usiku hadi saa 12 Asubuhi...