Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chizi kwa sababu alishindwa kuzuia hasira zake za kijinga na kihuni. katoka kula ban ya miaka miwili leo anapiga shabiki, nani atataka kumwajili tena mhuni kama huyu.Umeuliza tatizo ni nini au unatokwa povu tu,,Nyoso si chizi ampige mtu bila sababu
Basi msajirini Yanga naona anawafaaUmeuliza tatizo ni nini au unatokwa povu tu,,Nyoso si chizi ampige mtu bila sababu