Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Bondia Floyd Joy Money Mayweather amethibitisha kurudi ulingoni desemba mwaka huu kuzichapa kwa mara ya pili na Manny Pacquiao.
Katika pambano la mara ya kwanza Floyd aliibuka mshindi kwa Uninamous Decision (U.D) na ameahidi pia katika pambano la marudiano atamchakaza zaidi ya mara ya kwanza.
Kauli hizo kwa kiasi fulani zilimuogopesha Manny Pacquiao japo yeye ndiye aliyekuwa analilia pambano.
Bila kusahau katika pambano la hapo awali Floyd alimpiga Pacquiao mpaka akamvunja bega sasa je Pacquiao atalipa kisasi au ataendelea kuwa teja kwa Undefeated Pretty boy Floyd Money Mayweather???