Undefeated Floyd Mayweather vs Pacquaio Rematch December

Undefeated Floyd Mayweather vs Pacquaio Rematch December

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Bondia Floyd Joy Money Mayweather amethibitisha kurudi ulingoni desemba mwaka huu kuzichapa kwa mara ya pili na Manny Pacquiao.


Katika pambano la mara ya kwanza Floyd aliibuka mshindi kwa Uninamous Decision (U.D) na ameahidi pia katika pambano la marudiano atamchakaza zaidi ya mara ya kwanza.


Kauli hizo kwa kiasi fulani zilimuogopesha Manny Pacquiao japo yeye ndiye aliyekuwa analilia pambano.


Bila kusahau katika pambano la hapo awali Floyd alimpiga Pacquiao mpaka akamvunja bega sasa je Pacquiao atalipa kisasi au ataendelea kuwa teja kwa Undefeated Pretty boy Floyd Money Mayweather???

floydmayweather-20180915-0001.jpg
mannypacquiao-20180915-0001.jpg
 
Tatzo hbr umeileta kishabiki sana alimvunja mkono au kabla ya pambano pac aliingia mkono mmoja ukiwa mbovu? kuwa makini unapoleta taarifa hmu co wote vilaza!
Embu kaangalie upya lile pambano uone zile three combinations ,halafu uje ulete mrejesho.
 
Inatakiwa PAC ashinde ili ubishani uwe sawa. Halafu mwakinyo apate pamabno la utangulizi ampige mtu raundi ya kwanza kwa KO.
Sema ajiangalie sana mi sio bondia sema nilimuona kama hajilindi inavyostahili.
Ana hiyo weakness anaacha sura yake very exposed, ni hatari sana akiwahiwa yeye. Alichofanya juzi ni kumuwahi yule mzungu.
 
Tatzo hbr umeileta kishabiki sana alimvunja mkono au kabla ya pambano pac aliingia mkono mmoja ukiwa mbovu? kuwa makini unapoleta taarifa hmu co wote vilaza!
Ana mahaba tu
 
Lile Pambano lao la kwanza lilikua promoted kupita maelezo kwamba pambano la karne bla bla bla kibao

watu tulisubiria zile ngumi siku ya pambano mchezo ulikuwa wa kijinga sijapata kujua mpaka leo Mayweather alishinda vipi.

Pacquaio akapiga hela ndefu akarudi kwao amebaki kupost picha Instagram na familia yake kila siku wanaenda kanisani.
 
Back
Top Bottom