Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Labda ashinde na njaa sio kushinda pambano.Ubishi wetu unaanza upyaaaa
Pac atashinda i bet
Embu kaangalie upya lile pambano uone zile three combinations ,halafu uje ulete mrejesho.Tatzo hbr umeileta kishabiki sana alimvunja mkono au kabla ya pambano pac aliingia mkono mmoja ukiwa mbovu? kuwa makini unapoleta taarifa hmu co wote vilaza!
HaahhaahhaLabda ashinde na njaa sio kushinda pambano.
Upo sahihi kwa kiasi fulani haswa hapo kwa Mwakinyo.Inatakiwa PAC ashinde ili ubishani uwe sawa. Halafu mwakinyo apate pamabno la utangulizi ampige mtu raundi ya kwanza kwa KO.
Sema ajiangalie sana mi sio bondia sema nilimuona kama hajilindi inavyostahili.
Ana hiyo weakness anaacha sura yake very exposed, ni hatari sana akiwahiwa yeye. Alichofanya juzi ni kumuwahi yule mzungu.Inatakiwa PAC ashinde ili ubishani uwe sawa. Halafu mwakinyo apate pamabno la utangulizi ampige mtu raundi ya kwanza kwa KO.
Sema ajiangalie sana mi sio bondia sema nilimuona kama hajilindi inavyostahili.
Kumbe na wewe uliona bora mkuu. Mwalimu wake arekebishe haraka sana. Kijana mwenyewe anaonekana ana haraka sanaAna hiyo weakness anaacha sura yake very exposed, ni hatari sana akiwahiwa yeye. Alichofanya juzi ni kumuwahi yule mzungu.
Ana mahaba tuTatzo hbr umeileta kishabiki sana alimvunja mkono au kabla ya pambano pac aliingia mkono mmoja ukiwa mbovu? kuwa makini unapoleta taarifa hmu co wote vilaza!
Nashangaa hyu wcb na mambo ya ngumi wapi na wapi!Ana mahaba tu
Anapenda sana umbea huyoNashangaa hyu wcb na mambo ya ngumi wapi na wapi!
Embu angalia avatar yangu.Nashangaa hyu wcb na mambo ya ngumi wapi na wapi!
HaaaaaaaaahaaaaaaEmbu angalia avatar yangu.